Ungekuwa wewe ungemfanyaje mwanaume wa aina hii?

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
 
Mvumilivu hula mbivu,
Lakini asipokuwa makini hula zilizooza

Bazazi
 
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?

Communicate with him!
If haiwork out move out aisee! Utajifia na pressure for the sake of ndoa!
 
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
Mmmh huyo tena sii mwanaume !! Unampeleka kwa Mabingwa kumtibu ....Give him Medical-Care wengi hutibika.
 
UNAMUACHA TU! full stop! Hata biblia imeruhusu hilo! Mume/mke ataachwa kwa uasherati ebo!! Kapime kwanza!!
 
Ha ha ha, unatembea bila nguo ili asiwe na kusema, hakuna siri kuu kama sura ya kipochi manyoya.
 
Mwanaume wako ndio hufanya hivyo?
 
thanx wapendwa nitamuonyesha text muhusika mie nilimwambia hafai kuwa muwe mwanaume wa ivyo
 
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
Njoo kwangu upate tulizo la moyo wako, I mean niko tayari kukupa counseling!
 
mh mwanaume gani huyo?mwanaume hana tabia hizo..hizo ni tabia za kishoga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…