UNAMUACHA TU! full stop! Hata biblia imeruhusu hilo! Mume/mke ataachwa kwa uasherati ebo!! Kapime kwanza!!
thanx wapendwa nitamuonyesha text muhusika mie nilimwambia hafai kuwa muwe mwanaume wa ivyo
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?

Kabisaa.mbea dawa ni kusutwa tu...
LOL
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
siku hizi wamjini wana kodisha na matarumbeta kwa kazi hiyo... umbea noma sana, especially for a man.