Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Challenge.

Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ?

- Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ?

- Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ?

Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
 
Ningechagua Bongo, nizaliwe Katavi nilime mpunga na mahindi
bado una nafasi ya kuja katavi mkuu huku mbuga za kutosha, ardhi bado bikira kabisa

sisi wa katavi tunawaza kuzaliwa dar,tuongee kiswahili kama nyie na kula mikuku, mi piza, mi baga mlimani pale

tubadirishane mkuu
 
Back
Top Bottom