Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

Challenge.

Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ?

- Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ?

- Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ?

Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
chinga tu wa tandahimba Mtwara karibu na gesi ingependeza zaidi 🐒
 
Mkuu kwanza nani anakupa hiyo fursa ya kuchagua, anza kuboresha maisha yako uwe hicho unachokitamani. Issue ya msingi ni pesa tu ata kama wewe ni nyani
 
Back
Top Bottom