Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ufilipinokuchagua uzaliwe wapi
mashoga wengi sana huko, ME ni wa kutafuta kwa tochi, KE ndiyo wanatuma nauliNa sababu zako zingekuwa ni zipi ?
Upumbavu hauridhishiRidhika na hali uliyopo.
Awatandike na viboko vingi sana mpaka akili zirudiHapa kila mmoja atataka azaliwe mzungu, awakolonizi waafrika
niko sawa jinsi nilivyoChallenge.
Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ?
- Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ?
- Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ?
Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
bado una nafasi ya kuja katavi mkuu huku mbuga za kutosha, ardhi bado bikira kabisaNingechagua Bongo, nizaliwe Katavi nilime mpunga na mahindi