JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Tatizo lake muongo muongo, anaweza akatupige sound mchana kweupe.Nafikiri PM aje ajibie issue ya umeme
Maswali yako mengine mbona tayari Lucas mwashambwa alishayatolea ufafanuzi? Fuatilia nyuzi zake.1. Umeme Waziri Dotto.
2. Ukosefu wa Usd Waziri wa fedha.
3. Kuuzwa bandari zetu Mama mwenyewe
4. Wageni kupata uteuzi Mama mwenyewe
5. Katiba mpya Mama mwenyewe
6. Wazanzibari kumiliki ardhi Tanganyika Mama mwenyewe.
7. Wazanzibari kupewa ajira Tanganyika Mama mwenyewe
8. Ukosefu wa sukari Mama mwenyewe
9 Wazanzibari kutawala Tanganyika Mama mwenyewe.
10. Utendaji duni wa mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya, jeshi la polisi rushwaa hasa kitengo cha usalama barabarani. Mama mwenyewe
11. Utendaji mbovu wa Bunge na Mahakama Mama mwenyewe
Nina namber yake, ni Mke wa mtu yule hebu niahidi hutamtongoza.
Kiongozi wa TANESCO aje atoe maelezo kuhusu suala la umeme, kwanini umeme unakatwa masaa 12 mpaka 13/14 bila kutoa taarifa yoyote yenye mashimo nini kinaendelea na hii ni mpaka lini?Jukwaani ungependa kiongozi gani awe wa kwanza na kwasababu gani?
Pengine pote sawa ila kwenye bunge mama hausiki1. Umeme Waziri Dotto.