Ungependa ufe kwa ugonjwa gani?

Ungependa ufe kwa ugonjwa gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuzungumzia habari za kifo sio Jambo rahisi.tu assume tungepewa nafasi ya kuchagua ugonjwa ambao utasababisha kifo chako.je wewe ungechagua upi?kansa,matatizo ya mapafu,UKIMWI,malaria Kali,kisukari, pressure?n.k.naomba jibu na ikiwezekana na sababu.
 
Presha ni nzuri Sana. Husumbui watu.
Wakati nasikia high blood pressure moyo unasukuma dam Sana mpk baadhi ya mishipa midogo inapasuka.ni hatar nasikia labda Kama unasemea pressure kushuka
 
Sitaki Kujua Ugonjwa Nitakaokufa Nao, But Honestly Haya Magonjwa ambayo Hayatibiki sitaki Nife Nayo.. Tena Hasa Haya yanayotokana Na Ngono..!
God Bless[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom