If wishes were horses...........HUU MJADALA WA SASA NI CHA MTOTO,ILA NINA HAKIKA KINACHOOFUATA WAKATI WOWOTE BILA KUJALI BUNGE,PASAKA WALA MFUNGO WA RAMADHANI "WAHAFIDHINA NA WAKAANGA MBUYU WATABAKI MIDOMO WAZI".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If wishes were horses...........HUU MJADALA WA SASA NI CHA MTOTO,ILA NINA HAKIKA KINACHOOFUATA WAKATI WOWOTE BILA KUJALI BUNGE,PASAKA WALA MFUNGO WA RAMADHANI "WAHAFIDHINA NA WAKAANGA MBUYU WATABAKI MIDOMO WAZI".
Maneno matupu hayachomi nyumbaSafari hii watu watalia na kusaga meno.
Ufisadi unaofanywa na wataalam wetu ni wa kisomi, unafanyika kwa kufuata mianya ya sheria za manunuzi zilizopo. Ndiyo maana Mzilankende akaamua kununua ndege kwa keshi ili kuukwepa wizi uliohalalishwa na sheria zetuNdugu, kwani kuna awamu ambayo CAG hajawahi kuibua madudu? Hebu download na ujisomee report ya mwaka 2018/2019 aliyosomewa Mzee!View attachment 2580816View attachment 2580817
Hata yeye licha ya wakati mwingine kufanya hivyo lakini haikusaidia chochote,alikuwa anaweka mwingine bado tatizo liko pale pale tu.Inshu sio kubadirisha watu kila siku,tatizo linapokuwa ni la kimfumo kumtoa mtu mmoja tu haiwezi kusaidia kitu wakati mfumo unabaki vile vile!!!Na hawaogopi kwani sheria nazo sio kali,bunge nalo ndio hivyo halina meno,wananchi ndio wapumbavu kabisa.Hizo mambo alikuwa anaziweza Hayati Magufuli ,mkurugenzi wa TANESCO alitumbuliwa akiwa kwenye ibada ya mwaka mpya.
Wewe tunakufahamu ndiye mtu wa karibu na huyu mwandishi wa rais kwa hiyo wala haitusumbui hata akitoa leo usiku wa manane haibadilishi chochote makapi ni yale yale na sumu kuvu zake.Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba magari na samani zilizotumiwa na mtangulizi wake haziwezi kutumika na utawala wake.
Hoja hii aliikataa na ikawapa picha wasaidizi wake kuelewa yeye ni mtu wa aina gani.
Mhe. Rais naamini anatafakari kuona wale aliowateua wakaamua kutingisha kiberiti, anawaondoa ofisini ili TAKUKURU na taasisi nyingine ziweze kuanza uchunguzi.
Ni vigumu kumchunguza mteule wa Rais akiwa bado yupo ofisin, naamini sasa vyombo vya uchunguzi vinasubiria awafungulie baraba lakini je, amfungulie baraba pasaka hii au baada ya Eid?
Asipomfungulia baraba mapema upo uwezekano mabaraba wakadestroy ushahidi na akiwafungulia mapema anaweza kuwakwaza baadhi walio kwenye mfungo.
Zuhura Yunus tunasubiri kalamu yako imwake wino kuelekea kunako umma wa Watanzania kuwaambia hasira za mama zimeisha? Sitegemei ziishe kimya kimya au ziishe baada ya azimio la Bunge, maana akisubiri kelele za wabunge italeta tafsiri kwamba serikali inasubiri kufundishwa na Bunge.
Pasaka njem, funga njema kuelekea Eid.
Na tupo kwenye weekend wakti muafaka wa “TEUZI” 😂😂Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba magari na samani zilizotumiwa na mtangulizi wake haziwezi kutumika na utawala wake.
Hoja hii aliikataa na ikawapa picha wasaidizi wake kuelewa yeye ni mtu wa aina gani.
Mhe. Rais naamini anatafakari kuona wale aliowateua wakaamua kutingisha kiberiti, anawaondoa ofisini ili TAKUKURU na taasisi nyingine ziweze kuanza uchunguzi.
Ni vigumu kumchunguza mteule wa Rais akiwa bado yupo ofisin, naamini sasa vyombo vya uchunguzi vinasubiria awafungulie baraba lakini je, amfungulie baraba pasaka hii au baada ya Eid?
Asipomfungulia baraba mapema upo uwezekano mabaraba wakadestroy ushahidi na akiwafungulia mapema anaweza kuwakwaza baadhi walio kwenye mfungo.
Zuhura Yunus tunasubiri kalamu yako imwake wino kuelekea kunako umma wa Watanzania kuwaambia hasira za mama zimeisha? Sitegemei ziishe kimya kimya au ziishe baada ya azimio la Bunge, maana akisubiri kelele za wabunge italeta tafsiri kwamba serikali inasubiri kufundishwa na Bunge.
Pasaka njem, funga njema kuelekea Eid.
Hii itasaidia nini kwa mfano .ukifanya uteuzi hata Mara elfu ndo itaongeza uwajibikajiTukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba magari na samani zilizotumiwa na mtangulizi wake haziwezi kutumika na utawala wake.