Ungependa Zuhura Yunus atoke na mkeka kipindi cha Pasaka au baada Eid?

HUU MJADALA WA SASA NI CHA MTOTO,ILA NINA HAKIKA KINACHOOFUATA WAKATI WOWOTE BILA KUJALI BUNGE,PASAKA WALA MFUNGO WA RAMADHANI "WAHAFIDHINA NA WAKAANGA MBUYU WATABAKI MIDOMO WAZI".
If wishes were horses...........
 
Wahusika wa wizi ndio wanatakiwa kuchukuliwa hatua, hiyo mikeka ya kila siku haina jipya tena.
 
Ndugu, kwani kuna awamu ambayo CAG hajawahi kuibua madudu? Hebu download na ujisomee report ya mwaka 2018/2019 aliyosomewa Mzee!View attachment 2580816View attachment 2580817
Ufisadi unaofanywa na wataalam wetu ni wa kisomi, unafanyika kwa kufuata mianya ya sheria za manunuzi zilizopo. Ndiyo maana Mzilankende akaamua kununua ndege kwa keshi ili kuukwepa wizi uliohalalishwa na sheria zetu
 
Hizo mambo alikuwa anaziweza Hayati Magufuli ,mkurugenzi wa TANESCO alitumbuliwa akiwa kwenye ibada ya mwaka mpya.
Hata yeye licha ya wakati mwingine kufanya hivyo lakini haikusaidia chochote,alikuwa anaweka mwingine bado tatizo liko pale pale tu.Inshu sio kubadirisha watu kila siku,tatizo linapokuwa ni la kimfumo kumtoa mtu mmoja tu haiwezi kusaidia kitu wakati mfumo unabaki vile vile!!!Na hawaogopi kwani sheria nazo sio kali,bunge nalo ndio hivyo halina meno,wananchi ndio wapumbavu kabisa.
 
Wewe tunakufahamu ndiye mtu wa karibu na huyu mwandishi wa rais kwa hiyo wala haitusumbui hata akitoa leo usiku wa manane haibadilishi chochote makapi ni yale yale na sumu kuvu zake.
 
Kwa nini hawa wezi hajawafukuza mpaka leo… eti bunge likability.. bunge lipi? Mkulu avunje bunge kibogoyo automatically mawaziri wanafutwa…
Aunde serikali ndogo yenye watu waadilifu wenye kuipenda nchi… 2025 atarudi kwa kura nyingi tuanzie hapa…

JF siku hizi hampendi ukweli mnaboa sometimes..
 
Hapo hakuna jipya maana wateule ni walewale kinachofanyika wanabadilishana vitengo

Hapa watu wanao weza kufanya maamuzi yenyetija ndani ya taifa hili ni wananchi wenyewe tu watakapo amuwa kumfukuza mwehu na makopo yake Nahiyo ndio itakuwa tiba ya kuiponya nchi
 
Na tupo kwenye weekend wakti muafaka wa “TEUZI” 😂😂
 
Hii itasaidia nini kwa mfano .ukifanya uteuzi hata Mara elfu ndo itaongeza uwajibikaji
 
Hongera Mhe. Rais umeanza kumulika waliokuwa wanakudanganya, TRC na shirika la lenge Kwa uwekezaji tuliofanya tunahitaji watu wenye karba ya Neemia Mchechu ; watu wenye business strategy siyo wazee wanaotokana na mfumo kama waliopo sasa. Tafakuri kubwa iliyo mbele yako nikutafuta watu wenye business mind wakae maeneo nyeti then watu wa system wabaki kumulika nakukuangazia pakupita.

Regime iliyopita iliondoa watu wenye business mind ukaweka watu wenye urasimu na waliokariri uzalendo.....uzalendo siyo kukwamisha biashara uzalendo nikufichua maovu. Matokeo yake Kwa sasa nivigumu kufichua maovu Kwa Sababu watu wanaopaswa kufichua maovu wamekalia viti vya maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…