Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.KAZI ni kipimo cha utu
Hìi ni kweli kabisa hata mm nimeanza na layers pesa naiona sana hadi nashangaa kwann nimechelewa sana kuanza.pia biashara ya ufugaji kuku ni mradi wa nyumbani hauna purukushan za TRA wala kodi za frem pia unatumia muda mchache sana kuwahudumia.Yes, knowledge ndo kila kitu kwenye biashara na mentors wazuri mzee. Maana kuna muda market haieleweki ila kama una mentor mzuri anakuokoa kabisa una clear stock kwa wakati. Ufugaji unalipa sana yaani, ingekuwa anakupa free hizo 12M ni zako, hakuna cha marejesho, ningekwambia ufuge na broilers na kuku wa mayai layers. Utajiri nje nje mwanangu. Anyways, soma maoni ya wadau alafu utaona mwenyewe where to invest yourself. Ukumbuke tu kwamba hakuna biashara ambayo haina hasara, uvumilivu na juhudi ku minimize vitu vinavyokutia hasara ndo key to success.
Mtaji changamoto na miundombinu. Nicheki pm tujuzane zaidi juu ya ufugaji kama hautojali.Hìi ni kweli kabisa hata mm nimeanza na layers pesa naiona sana hadi nashangaa kwann nimechelewa sana kuanza.pia biashara ya ufugaji kuku ni mradi wa nyumbani hauna purukushan za TRA wala kodi za frem pia unatumia muda mchache sana kuwahudumia.
Kweli Kama uko serious njoo dm tuongee nikupe hiahsra ya kufanya utanishukuru ndanj ya mwezi mmoja hyo pesa Ni ndefu SanWafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto.
Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila ajira ndio wamejaa watu dhaifu zaidi, kwanini nimesema hivyo?
Kusoma kuajiriwa na kulipwa mshahara hakuna maajabu zaidi maana unauza ujuzi unabadilishana na pesa, kwahiyo pesa zinaflow tu bila hata ya kuumiza kichwa, pesa za wizi, n.k lakini biashara unaweza umiza kichwa mara kumi na usitoboe.
Brother wangu, anataka kunikopa mtaji wa million 12 na kanipa miezi 6 ya kupambana, baada ya miezi sita ikishapita inabidi kila mwezi nimtumie laki 5 mpaka hela yake yote itimie.
Sasa hizi hela za ndugu ni za lawama aisee na sitaki kumdissapoint kabisa, Dar es Salaam siwezi enda maana niliingia kichwa kichwa nikapigwa za uso nikatoka nduki sitaki kurudi tena.
Nipo Kigoma maeneo ya Kasulu hapa, kichwa kinawaka moto kweli, nawaza niingie vijijini nikanunue maharage nikaweke stoo, lakini naona kama risk ni kubwa na faida kidogo, nikawaza niende Mpanda huko wakati wa mavuno ya mpunga nikatupie hela huko wakati naendelea kuwaza niifanyie nini.
Hivi wazee ungekuwa wewe umepewa hiyo hela ungeitumbukiza sehemu gani ikupe faida?.
Ni Kweli Yuko sahih biashra is not for everyoneNilipoona umeandika ajira ni bora zaidi ya biashara nimekushangaa sana.
Unamaanisha hizi ajira za mishahara ya 585,000 na 765,000 au 1.3m hadi 3.3m ni bora?
Akili kama hizi kutoboa ni ndoto
Acha wakomae na huo mserereko wa TGS.C na TGS.DNi Kweli Yuko sahih biashra is not for everyone
Biahsra Ni risk kubwa inataka ajira Ni mserereko
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Njoo dm nikupe michongo na mmhuwa sianiki vitu vyangu hadharani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
perfectMkuu issues ni connection tafuta biashara iliyosimama kabisa jiunge uwe mshirika....sema kibongo hii theory ni ngumu sanaa na inatumika kwa wachache sanaa.
Sio kila biashara lazima uanze nayo..
Ameongea kitu cha kweli kabisa na hali hiyo nimeamini kweli ni mfanyabiashara kwasababu kwenye biashara hayo mambo yanafanywa na 97% ya wafanyabiasharaEndelea kutafuta ajira uajiriwe na achana na biashara maana ushaweka negativity so imekuakaa akilini kuwa biashara ni ngumu na hautakuja kufanikiwa...it seems unataka mafanikio ya haraka and maybe ndo mana mara ya kwanza ulikula za uso
Nina cash pia million 3 lakini kwa kigoma sioni pa kuiweka, ningekua DSM ingekua ni mtaji mkubwa mno maana ningeweza kuanza kama machinga ila kwa kigoma dah.doh kwenye miti hapana wajenzi
all the best mkuu lakin kwa uzoefu wangu usichukue hiyo hela
tafuta ela yako hata kama ni 2m anza taratibu as you grow unapata experience,networking,connection nk hii itakusaidia kujua ni kiasi gani kinahitajika u inject kwenye hiyo biashara na return yake ikoje
BIASHARA HAIANZISHWI KWA PESA ZA MKOPO
again all the best
Kigoma.....lete dagaa mawese na sabuni za kigoma sambaza kwenye maduka pale mbezi tu....unatoboaWafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto.
Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila ajira ndio wamejaa watu dhaifu zaidi, kwanini nimesema hivyo?
Kusoma kuajiriwa na kulipwa mshahara hakuna maajabu zaidi maana unauza ujuzi unabadilishana na pesa, kwahiyo pesa zinaflow tu bila hata ya kuumiza kichwa, pesa za wizi, n.k lakini biashara unaweza umiza kichwa mara kumi na usitoboe.
Brother wangu, anataka kunikopa mtaji wa million 12 na kanipa miezi 6 ya kupambana, baada ya miezi sita ikishapita inabidi kila mwezi nimtumie laki 5 mpaka hela yake yote itimie.
Sasa hizi hela za ndugu ni za lawama aisee na sitaki kumdissapoint kabisa, Dar es Salaam siwezi enda maana niliingia kichwa kichwa nikapigwa za uso nikatoka nduki sitaki kurudi tena.
Nipo Kigoma maeneo ya Kasulu hapa, kichwa kinawaka moto kweli, nawaza niingie vijijini nikanunue maharage nikaweke stoo, lakini naona kama risk ni kubwa na faida kidogo, nikawaza niende Mpanda huko wakati wa mavuno ya mpunga nikatupie hela huko wakati naendelea kuwaza niifanyie nini.
Hivi wazee ungekuwa wewe umepewa hiyo hela ungeitumbukiza sehemu gani ikupe faida?.
Sawa, itabidi nije kwanza huko kutafuta masokoKigoma.....lete dagaa mawese na sabuni za kigoma sambaza kwenye maduka pale mbezi tu....unatoboa
kwani kigoma umepigiwa misumari kuwa usiondoke?Nina cash pia million 3 lakini kwa kigoma sioni pa kuiweka, ningekua DSM ingekua ni mtaji mkubwa mno maana ningeweza kuanza kama machinga ila kwa kigoma dah.
hata dagaa pekee akafate mpanda huko inawezekana piaKigoma.....lete dagaa mawese na sabuni za kigoma sambaza kwenye maduka pale mbezi tu....unatoboa
Nakushauri hapa nikiwa nimetoka dukani miguu ikiwa inawaka moto huku mgongo unauma.Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto.
Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila ajira ndio wamejaa watu dhaifu zaidi, kwanini nimesema hivyo?
Kusoma kuajiriwa na kulipwa mshahara hakuna maajabu zaidi maana unauza ujuzi unabadilishana na pesa, kwahiyo pesa zinaflow tu bila hata ya kuumiza kichwa, pesa za wizi, n.k lakini biashara unaweza umiza kichwa mara kumi na usitoboe.
Brother wangu, anataka kunikopa mtaji wa million 12 na kanipa miezi 6 ya kupambana, baada ya miezi sita ikishapita inabidi kila mwezi nimtumie laki 5 mpaka hela yake yote itimie.
Sasa hizi hela za ndugu ni za lawama aisee na sitaki kumdissapoint kabisa, Dar es Salaam siwezi enda maana niliingia kichwa kichwa nikapigwa za uso nikatoka nduki sitaki kurudi tena.
Nipo Kigoma maeneo ya Kasulu hapa, kichwa kinawaka moto kweli, nawaza niingie vijijini nikanunue maharage nikaweke stoo, lakini naona kama risk ni kubwa na faida kidogo, nikawaza niende Mpanda huko wakati wa mavuno ya mpunga nikatupie hela huko wakati naendelea kuwaza niifanyie nini.
Hivi wazee ungekuwa wewe umepewa hiyo hela ungeitumbukiza sehemu gani ikupe faida?.
Hutoboi asee kmaishaAcha wakomae na huo mserereko wa TGS.C na TGS.D