Ungepewa nafasi ya kuyaanza upya maisha yako ni jambo gani ungelibadilisha?

haiwezi kani kutokea kwa hiyo sijisumbuhi hata kufikiria chochote.
 
Kweli inaweza kuwa hivi....Ila maana kubwa ni kutathimin sehemu ambayo unahisi ulikosea katika maisha yako ambayo unaonesha kujutia kwa sasa
 
Kutokua Compatible na Dunia ninavyotaka iwe..
Nah.

Stop taking life seriously.

Stop overthinking.

And stop paying too much attention to what people say. Piga job zako, talk to God and take each day at a time. Mdogo mdogo.
 
Nisingefanya ngono na mwanamke yeyote Wala kupiga punyeto mpaka pale siku ya ndoa yangu, na pia katika kipindi chote hicho ningekua mcha Mungu, mpenda mazoezi na mzingatiaji wa diet [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…