Ungepewa nafasi ya kuyaanza upya maisha yako ni jambo gani ungelibadilisha?

Ungepewa nafasi ya kuyaanza upya maisha yako ni jambo gani ungelibadilisha?

Kuanza upya kuanzia wapi? Tumboni mwa mama yako, baada ya kumaliza elimu ya msingi, au wapi? Upya ni wapi?. Maana kuna mwingine alipokuwa mtoto wa miaka 6 alichachanwa usoni na paka mpaka leo ana alama na akiangalia hiyo alama anatamani asingemfinya yule paka wao. Ukimwambia anza upya atarudi pale alipokuwa anamfinya paka.
Kweli inaweza kuwa hivi....Ila maana kubwa ni kutathimin sehemu ambayo unahisi ulikosea katika maisha yako ambayo unaonesha kujutia kwa sasa
 
Kutokua Compatible na Dunia ninavyotaka iwe..
Nah.

Stop taking life seriously.

Stop overthinking.

And stop paying too much attention to what people say. Piga job zako, talk to God and take each day at a time. Mdogo mdogo.
 
Nisingefanya ngono na mwanamke yeyote Wala kupiga punyeto mpaka pale siku ya ndoa yangu, na pia katika kipindi chote hicho ningekua mcha Mungu, mpenda mazoezi na mzingatiaji wa diet [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom