Ungepokea comments za namna hii, ungejisikiaje?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje?




Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya ukatili dhidi ya mtu au watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…