Ungetatua vipi mgogoro wa daladala na bajaj?

Solution ni kuondoa bajaj kubeba abiria wa kuchangiana kwenye route ndefu kuanzia 7 kilometres hii itasababisha daladala waendelee kuchukua abiria wa route ndefu.

Nashauri hivi kwa kuangalia pia suala zima la usalama wa abiria wanaopanda bajaj kwenye route ndefu inakuwa changamoto kiasi lakini pia kufanya mgawanyo wa riziki ili kila mmoja apate kiasi.

Bajaj hatumii mafuta mengi kwenye route fupi hivyo huwalipa na daladala hapati hela nzuri kwenye route fupi sababu atalazimika kuchaji nauli ndogo na haitamlipa kwenye mafuta sababu atalazimika kukaa vituo vingi kwa nauli ndogo hivyo kukamua mafuta zaidi.

Hili suala lilishafanyika sana hata Arusha hapohapo coaster waliona hawawezi kushindana na hiache kwenye town trips ndio maana wakaamua kupiga route ndefu ambazo nauli yake ni ndefu kiasi.

Hizi ishu hata bajaj kwenye routefupi hulalamika pale bodaboda wakija maana wao kwenye foute ambayo bajaj atachaji 3000 boda anachukua 2000 na unafika fasta maana ni route fupi.

So binafsi nashauri wangetumia busara kuallocate hizi route na kuweka vituo rasmi vya bajaj maeneo ambayo sio stand za hiace za route ndefu ili mtu akitaka route ya kilometer tatu ataamua apande basi au bajaj.

Lakini pia kama bajaj wataamua kubeba abiria basi wawekewe special rate za kulipa TRA na Vibali vingine kama LATRA nk.
 
Yaani nyie vijana wa LATRA ovyo kabisa!! Mishahara mlipwe nyinyi, solution tutafute sisi??
 
Mbona Waendesha Bajaji hawalalamiki kuwa Daladala zinamaliza wateja. Ikiendelea hivi kesho watageuka kwa bodaboda.
 
Tension inazidi kuwa kubwa kati ya bajaj na daladala. Na mara nyingi hii huwa inaleta vurugu na mahasi baina ya wahusika wa bajaj na daladala, ila pia migomo ambayo inapelekea tabu kwa wasafiri.

Currently, huko Arusha kuna mgomo wa daladala. Jamaa wa daladala wanalalamika bajaj wanawaharibia biashara kwa kuchukua wateja wao katika njia zao.

Bila kupendelea upande wowote, ni hatua gani ungependa zichukuliwe ili amani na utulivu udumishwe milele bila ya yoyote kuwa mhanga wa mgogoro wa dala dala na bajaj?

Karibuni.

Kila mmoja apewe njia yake, the two cannot compete kwenye barabara moja, running cost, capacity na size zinatofautiana, na hizi zinawapa advantage Bajaj
 
Madereva daladala hawana point, wao wakiona kazi ngumu warudshe magari kwa waajiri wawaachie hapo.

waende wakaombe kazi kwa maboss wa bajaji waendelee na kazi.

Abiria siku zote anafata sehemu ambayo anaona anapata huduma bora, bei si sababu ndio mana kwenye bajaji bei n kubwa na watu hawajali wanapanda hvyo hvyo.

Arusha ni jiji ambalo nakuja kuona n kama hata dala dala hazikupaswa kuwepo kutokana na hamna ulazima huo.

Kama hadi leo jiji linatumia vi haice hamna hata coaster inayoenda kwa idd,usa river,nk ni vi haice tena vile vi haice ukiingia hafa uwe mfupi kama Joti bado utainama. Vinakera.

unainama na bado ukiingia konda anawasimamisha mpka gari iondoke kibiongo kimetoka.

Kwanza Ingekua uwezo wangu ni hiace zote zifutwe zibaki bajaji.

Arusha pako slow sana hao madereva wa vifodi wanazngua hawana point.
 
Tension inazidi kuwa kubwa kati ya bajaj na daladala. Na mara nyingi hii huwa inaleta vurugu na mahasi baina ya wahusika wa bajaj na daladala, ila pia migomo ambayo inapelekea tabu kwa wasafiri.

Currently, huko Arusha kuna mgomo wa daladala. Jamaa wa daladala wanalalamika bajaj wanawaharibia biashara kwa kuchukua wateja wao katika njia zao.

Bila kupendelea upande wowote, ni hatua gani ungependa zichukuliwe ili amani na utulivu udumishwe milele bila ya yoyote kuwa mhanga wa mgogoro wa dala dala na bajaj?

Karibuni.
Hii ni biashara huria. Daladala wanapaswa kuelewa wananchi kwanza hawapenzi huduma zao kwani ni duni sana. Hawana kauli nzuri na wengi wanakuwa wachafu.

Wananchi wanapanda daladala kwa sababu tu hawana mbadala na laiti wakipata mbadala hawatapanda hizo dala dala zao. Mfano nauli ya daladala na bajaji ikiwa sawa wengi watapanda bajaj na kuacha daladala.

Pia daladala waelewe muda na tekinilojia havisubiri. Leo wanaona kama biashara ya ni ya muhimu. Je kesho serikali ikijenga mwendokasi Arusha watafanyaje? Wajifunze kwa taxi na uber na waishi na bajaji in harmony.

Mwisho mimi nashauri mamlaka zisiwalegezee hizo daladala. Kama wanagoma wagome milele ila walazimishe bajaj zinazokusanya abaria wachaji bei ile ile ya dala dala. Hakuna muda wa kubembeleza hizo dala dala. Na pia serikali ifikirie kujenga mwendokasi kwenye majiji ili kukomesha kiburi cha dala dala
 
Solution ni kuondoa bajaj kubeba abiria wa kuchangiana kwenye route ndefu kuanzia 7 kilometres hii itasababisha daladala waendelee kuchukua abiria wa route ndefu.

Nashauri hivi kwa kuangalia pia suala zima la usalama wa abiria wanaopanda bajaj kwenye route ndefu inakuwa changamoto kiasi lakini pia kufanya mgawanyo wa riziki ili kila mmoja apate kiasi.

Bajaj hatumii mafuta mengi kwenye route fupi hivyo huwalipa na daladala hapati hela nzuri kwenye route fupi sababu atalazimika kuchaji nauli ndogo na haitamlipa kwenye mafuta sababu atalazimika kukaa vituo vingi kwa nauli ndogo hivyo kukamua mafuta zaidi.

Hili suala lilishafanyika sana hata Arusha hapohapo coaster waliona hawawezi kushindana na hiache kwenye town trips ndio maana wakaamua kupiga route ndefu ambazo nauli yake ni ndefu kiasi.

Hizi ishu hata bajaj kwenye routefupi hulalamika pale bodaboda wakija maana wao kwenye foute ambayo bajaj atachaji 3000 boda anachukua 2000 na unafika fasta maana ni route fupi.

So binafsi nashauri wangetumia busara kuallocate hizi route na kuweka vituo rasmi vya bajaj maeneo ambayo sio stand za hiace za route ndefu ili mtu akitaka route ya kilometer tatu ataamua apande basi au bajaj.

Lakini pia kama bajaj wataamua kubeba abiria basi wawekewe special rate za kulipa TRA na Vibali vingine kama LATRA nk.
Ahsante mtaaalaam
 
Hii ni biashara huria. Daladala wanapaswa kuelewa wananchi kwanza hawapenzi huduma zao kwani ni duni sana. Hawana kauli nzuri na wengi wanakuwa wachafu.

Wananchi wanapanda daladala kwa sababu tu hawana mbadala na laiti wakipata mbadala hawatapanda hizo dala dala zao. Mfano nauli ya daladala na bajaji ikiwa sawa wengi watapanda bajaj na kuacha daladala.

Pia daladala waelewe muda na tekinilojia havisubiri. Leo wanaona kama biashara ya ni ya muhimu. Je kesho serikali ikijenga mwendokasi Arusha watafanyaje? Wajifunze kwa taxi na uber na waishi na bajaji in harmony.

Mwisho mimi nashauri mamlaka zisiwalegezee hizo daladala. Kama wanagoma wagome milele ila walazimishe bajaj zinaxokusanya abaria wachaji bei ile ile ya dala dala. Hakuna muda wa kubembeleza hizo dala dala. Na pia serikali ifikirie kujenga mwendokasi kwenye majiji ili kukomesha kiburi cha dala dala
Ahsante mtaalam
 
Back
Top Bottom