Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Wakuu kwema?
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani?
Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini?
Mi napenda sana misosi wakuu, na kwenye kupika si haba, ipo siku ntaenda kuongeza ujuzi niingie huku vizuri. Vipi wewe?
Swali la uchokozi baada ya kujua ungependa kufanya kazi gani.... Nini kinakuzuia kufanya kazi hiyo unayoipenda?