Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

kusema ukweli asilimia kubwa ya vijana wa kiume na kike wanaoenda kutafuta maisha zanzibar wnafanya biashara ya ukahaba kwa jina la tour guide na wahudumu wa hotel, kuna zile pub pale stone town ikishafika jioni wageni wametoka beach utaona vijana wa kiume na kike wanajazana kwenye zile pub wananunua bia moja na kuanza kutega wazungu, nishaona wanaume wanajichekesha ili mradi wavutie wamama wa kizungu.

Ni kweli baadhi wanafanikiwa kuwapata ukizingatia watalii wengine huwa wanakuja kwenye sex tourism unakuta mama wa kizungu kashagongana na vijana karibia wote pale bar, tatizo vijana wanataka kuganda ili wapelekwe ulaya unakuta mama wa kizungu anakuuliza did you enjoy?

Ukijibu yes anakwambia me too, have a nice day anatoka anaenda kuwinda kijana mwingine, same kwa mademu wa kibongo wengine wanatumia hadi uchawi kukamata vibabu wa kizungu
Hii kitu ipo kila sehemu kwenye shughuli za utalii
 
Haishangazi.

Naikumbuka reaction ya shangazi wa watu kwenye hii issue ya ushoga.

 
Timu Lisu walikimbilia Unguja baada ya kutimuliwa na Makonda huku Dar.
Kweli bana hawa hapa

Screenshot_20211105-000850.png


Screenshot_20211105-000913.png


Screenshot_20211105-000904.png
 
Wameruhusu lini? Wapi?
[emoji23][emoji23]
Mzee imekuuma sana hiyo taarifa ya waziri kuwa Unguja ni kitovu cha ukahaba na ushoga hadi unaleta taarifa za uwongo?
Unajua ninyi wakristo munapenda sana kuutusi na kutusi waislam, yaani mukipata nafasi ndogo tu ya kukashifu basi tayari mutamiminika humu kwa mbwembwe kisa ni chuki tu mulizonazo juu ya hii dini,
Kiukweki hakuna atakaekubali kuchezewa au kutukaniwa dini yake vile we unaumia ndivyo hivuo hiyo wenzako wanaumia,
Na hata wewe najua umeumia kwa kutetea mfumo kristo
So madamu media zipo na tunazo tutazitumia vile itakavyobidi kila mmoja atetee imani yake kwa style ile ile
Ukinikera nami nakukera, ukitukana nami natukana vile utarespond nami ndio nitarespond
Vinginevyo
Tuheshimiane kwa kuwa wewe ndio ulianza kuita unguja kitovu cha uislam
 
Unajua ninyi wakristo munapenda sana kuutusi na kutusi waislam, yaani mukipata nafasi ndogo tu ya kukashifu basi tayari mutamiminika humu kwa mbwembwe kisa ni chuki tu mulizonazo juu ya hii dini,
Kiukweki hakuna atakaekubali kuchezewa au kutukaniwa dini yake vile we unaumia ndivyo hivuo hiyo wenzako wanaumia,
Na hata wewe najua umeumia kwa kutetea mfumo kristo
So madamu media zipo na tunazo tutazitumia vile itakavyobidi kila mmoja atetee imani yake kwa style ile ile
Ukinikera nami nakukera, ukitukana nami natukana vile utarespond nami ndio nitarespond
Vinginevyo
Tuheshimiane kwa kuwa wewe ndio ulianza kuita unguja kitovu cha uislam
Kwani sio kitovuni.. unguja ipo sawa na mbinga kiuislam?!
 
UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba.

Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum Mkuya, alisema jumla ya wanawake 5,554 wanauza miili yao Zanzibar ambapo Unguja ni 4,854 na Pemba ni 700.

Alisema idadi ya wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Zanzibar ni 3,300 ambapo Unguja ni 3,300 wakati Pemba ni 300.

Alisema asilimia kubwa ya maambukizo ya Virusi vya Ukimwi yapo kwa makundi maalum yakiwamo wanawake wanaofanya biashara ya miili yao ambayo ni asilimia 12, wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja asilimia 5 na wanaotumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano asilimia 5.1.

Alieleza takwimu hizo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya Zanzibar mwaka 2018 ambapo watu 2,600 Zanzibar wanatumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano Unguja ni 2,200 na Pemba ni 400.

Alisema wizara yake imeendelea na jitihada za kuyafikia makundi hayo maalum kwa lengo la kuyapa elimu na kupima maambukizio ya VVU na hadi kufikia Septemba mwaka huu, jumla ya watu 10,378 wa makundi maalum wamefikiwa na 6,424 walikubali kupima VVU ambapo 69 waligundulika na maambukizi ya VVU.

Waziri huyo alieleza kuwa kutoka Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu, jumla ya wajawazito 56,165 wamefanyiwa uchunguzi wa VVU ambapo kati yao 104 waligundulika na VVU, watoto 381 waliozaliwa walichunguzwa afya zao na watano waligundulika na maambukizi ya virusi hivyo.

“Katika kudhibiti maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kiwango cha maambukizi chini ya asilimia tano kinachukuliwa kama ni ishara ya ufanisi katika kuwalinda watoto dhidi ya maambukizi kutoka kwa mama zao,” alisema Dk. Saada.

Alieleza katika kuibua mbinu za kudhibiti mazingira hatarishi yanayoweza kuchangia kuongezeka kwa maambukizi ya VVU, wizara yake kwa kushirikiana na Wizara ya Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, imeweka utaratibu kudhibiti upigaji wa ngoma na muziki katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba kwa kuzuia vibali.

Alisema pia wamefungia baa na nyumba za kulala wageni na hoteli zinazoendeshwa kinyume cha utaratibu au zinazochochea tabia hatarishi pamoja na kudhibiti bandari zisizorasmi kwa kusimamia uingiaji wa wageni wasiokuwa na shughuli zinazoeleweka.

Aidha, alisema Zanzibar bado inakabiliwa na tatizo la unyanyapaa kwa wanaoishi na VVU, licha ya elimu inayotolewa kwa jamii, hivyo aliwasisitiza wananchi kuacha unyanyapaa.

NIPASHE
Duh zenji wanajielewa kwa kulionyesha Tatizo na kujaribu kulitatua
 
Sirini ndiko uchafu mwingi umejaa..hata wewe kuna matukio ya ajabu unayafanya sirini..ila ukija mbele za watu unakifanya mwema...kimasingi unafiki ndio umewajaa binadamu.

Ila takwimu ziko wazi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom