Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

😂😂😂😂Jibu lip andika kiswahili watu wote wajue aliyetoa maelezo kwanza hajielewi .

Hilo swali ukipata majibu nitag na hayapo maana hata huelewi nn unasoma ..
Commentary ipo kwa kingereza, tafuta mtu aku tafsirie
 
Commentary ipo kwa kingereza, tafuta mtu aku tafsirie
Jibu lako we unapelekwa 😂😂😂hamna jibu hapo basi ni urogo .

Ishu ni kwamba mtapewa 100 times ya mlivyoviacha na kumfuata yesu.
 
Jibu lako we unapelekwa 😂😂😂hamna jibu hapo basi ni urogo .

Ishu ni kwamba mtapewa 100 times ya mlivyoviacha na kumfuata yesu.
Mbona lipo wazi
_ hatuchukui ayo maneno literally, na hatutegemei kupata nyumba 100 baba 100 mama 100watoto 100

Shall receive an hundredfold.--The better MSS. have "manifold more," as in St. Luke. The received reading agrees with St. Mark. Here it is manifestly impossible to take the words literally, and this may well make us hesitate in expecting a literal fulfilment of the promise that precedes. We cannot look for the hundredfold of houses, or wives, or children. What is meant is, that the spirit of insight and self-sacrifice for the sake of God's kingdom multiplies and intensifies even the common joys of life..
 
Unajitahidi sana kuedit Ila ukweli unaujua kua ushoga unaruhusiwa huko kwenu na mnaoana kabisa kanisani tena kwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa wa kanisa.
Weka Ushahidi Yesu Amefundisha uchafu huo kama nilivyo weka Ushahidi toka ilimu ilimu!
Halafu weka Ushahidi Allah kahukumia adhabu gani kwa wanaume wanao pumuliana![emoji101][emoji101]
Allah Amewatakasa Wakristo!
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wasemao: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wamo wasomi na wacha Mungu , na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.

Au kisilamu silamu alipoona wanapumuliana ndio kawapa sifa ya Usomi, uchamungu na hawana kibrj??[emoji101][emoji101]
 
UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba.

Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum Mkuya, alisema jumla ya wanawake 5,554 wanauza miili yao Zanzibar ambapo Unguja ni 4,854 na Pemba ni 700.

Alisema idadi ya wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Zanzibar ni 3,300 ambapo Unguja ni 3,300 wakati Pemba ni 300.

Alisema asilimia kubwa ya maambukizo ya Virusi vya Ukimwi yapo kwa makundi maalum yakiwamo wanawake wanaofanya biashara ya miili yao ambayo ni asilimia 12, wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja asilimia 5 na wanaotumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano asilimia 5.1.

Alieleza takwimu hizo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya Zanzibar mwaka 2018 ambapo watu 2,600 Zanzibar wanatumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano Unguja ni 2,200 na Pemba ni 400.

Alisema wizara yake imeendelea na jitihada za kuyafikia makundi hayo maalum kwa lengo la kuyapa elimu na kupima maambukizio ya VVU na hadi kufikia Septemba mwaka huu, jumla ya watu 10,378 wa makundi maalum wamefikiwa na 6,424 walikubali kupima VVU ambapo 69 waligundulika na maambukizi ya VVU.

Waziri huyo alieleza kuwa kutoka Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu, jumla ya wajawazito 56,165 wamefanyiwa uchunguzi wa VVU ambapo kati yao 104 waligundulika na VVU, watoto 381 waliozaliwa walichunguzwa afya zao na watano waligundulika na maambukizi ya virusi hivyo.

“Katika kudhibiti maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kiwango cha maambukizi chini ya asilimia tano kinachukuliwa kama ni ishara ya ufanisi katika kuwalinda watoto dhidi ya maambukizi kutoka kwa mama zao,” alisema Dk. Saada.

Alieleza katika kuibua mbinu za kudhibiti mazingira hatarishi yanayoweza kuchangia kuongezeka kwa maambukizi ya VVU, wizara yake kwa kushirikiana na Wizara ya Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, imeweka utaratibu kudhibiti upigaji wa ngoma na muziki katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba kwa kuzuia vibali.

Alisema pia wamefungia baa na nyumba za kulala wageni na hoteli zinazoendeshwa kinyume cha utaratibu au zinazochochea tabia hatarishi pamoja na kudhibiti bandari zisizorasmi kwa kusimamia uingiaji wa wageni wasiokuwa na shughuli zinazoeleweka.

Aidha, alisema Zanzibar bado inakabiliwa na tatizo la unyanyapaa kwa wanaoishi na VVU, licha ya elimu inayotolewa kwa jamii, hivyo aliwasisitiza wananchi kuacha unyanyapaa.

NIPASHE
Mwanadamu hawezi kushindana mungu kasema ushoga na ubasha na ukahaba ni haramu mkiwabaini waueni watu wakaanza kupinga hukumu za allah na kuzibeza leo wanalalama
 
Unajitahidi sana kuedit Ila ukweli unaujua kua ushoga unaruhusiwa huko kwenu na mnaoana kabisa kanisani tena kwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa wa kanisa.
Nielimishe hiyo ilimu islamu dogo...
 
Kutubia kwamba wameomba msamaha hata yesu alikaa mzinifu asipigwe mawe ,ni kwamba huwezi kumuhukumu mtu na Allah ana samehe dhambi isipokuwa ushirikina.

Hadithi za chini hapo ni uongo na hazipo unazijua wew kwa vile zilitungwa haziendani na Qur an so ni urongo na hazipo [emoji23][emoji23]....Hakuna kitu kama hicho daima katika uislamu
Kwani quran yenyewe ni stori!
[emoji116][emoji116]
اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ ۚ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ

[ AZZUMAR - 23 ]
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
 
Tatizo lipo wapi maana ni asili ya neno Qaraa ambayo maana yake ni kusoma..

Tatizo lipo wapi je unajua tofauti ya Qur na hadithi?
 
Kwani quran yenyewe ni stori!
[emoji116][emoji116]
اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ ۚ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ

[ AZZUMAR - 23 ]
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
Bwana mnayemuabudu ni mume wenu!

54:5 Isaya

Kwa sababu muumba wako ndiye mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake;
 
Back
Top Bottom