cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Umevurugwaa wee sio buree.Leo ndo unakataa dini yako
Mxxxiiiiieeeeew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevurugwaa wee sio buree.Leo ndo unakataa dini yako
Unajitahidi sana kuedit Ila ukweli unaujua kua ushoga unaruhusiwa huko kwenu na mnaoana kabisa kanisani tena kwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa wa kanisa.Chimbuko la ushoga ni kaumu luti!
Sasa labda unielimishe kuhusu ilimu hii!
[emoji116][emoji116]
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا
(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Sahih al-Bukhari 6474
Narrated Sahl bin Sa`d:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "Whoever can guarantee (the chastity of) [emoji101][emoji101][emoji101] is between his two jaw-bones and what is between his two legs (i.e. his tongue and his private parts), I guarantee Paradise for him."
حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ أَبِي بَكْرٍ الْمُقَدَّمِيُّ، حَدَّثَنَا عُمَرُ بْنُ عَلِيٍّ، سَمِعَ أَبَا حَازِمٍ، عَنْ سَهْلِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ " مَنْ يَضْمَنْ لِي مَا بَيْنَ لَحْيَيْهِ وَمَا بَيْنَ رِجْلَيْهِ أَضْمَنْ لَهُ الْجَنَّةَ ".
Reference : Sahih al-Bukhari 6474
In-book reference : Book 81, Hadith 63
USC-MSA web (English) reference : Vol. 8, Book 76, Hadith 481
[emoji101][emoji101][emoji101]View attachment 2547217View attachment 2547218View attachment 2547219
Kuna ndugu Yako katika kubusu jiwe ,nilimuwekea verse ya Koran nikasema Hadith , aliikataa badae namwambia ni Koran akajibu sijui kiarabu 😂😂🤣 Ila aliogopa kidogo ajinyeeHadithi za chini hapo ni uongo na hazipo unazijua wew kwa vile zilitungwa haziendani na Qur an so ni urongo na hazipo 😂😂....Hakuna kitu kama hicho daima katika uislamu
Si ulete wewe uliahidiwa wake 100 peponi😂😂Kuna ndugu Yako katika kubusu jiwe ,nilimuwekea verse ya Koran nikasema Hadith , aliikataa badae namwambia ni Koran akajibu sijui kiarabu 😂😂🤣 Ila aliogopa kidogo ajinyee
Ipo siku mbusu jiwe , kwa sasa umejiandaa ,Si ulete wewe uliahidiwa wake 100 peponi😂😂
Ngoja upate wake 100 peponi ulivyoahidiwa na bwanaIpo siku mbusu jiwe , kwa sasa umejiandaa ,
Ipo siku mbusu jiwe , kwa sasa umejiandaa ,
Hiyo ni translation tu ,na nilishaweka sawa humu ,54:5 Isaya
Kwa sababu muumba wako ndiye mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.
Nyie mna mume wa asili ambaye ni muumba wenu😂😂😂
😂😂😂😂Hiyo ni translation tu ,na nilishaweka sawa humu ,
Someni kwanza wabusu jiwe mnakurupuka Sana 😂🤣🤣😂😂😂😂
Someni kwanza wabusu jiwe mnakurupuka Sana 😂🤣🤣
Hebrew neno lililotumika ni "am your master" בָּעַ֣לְתִּי
Sasa namipiga kwa facts mpaka mkimbie yeroooh !! Yerooh Masai 😂😂Someni kwanza wabusu jiwe mnakurupuka Sana 😂🤣🤣
Hebrew neno lililotumika ni "am your master" בָּעַ֣לְתִּי
Kuna mtu ana baba 100 au mama 100? ,mbusu jiwe soma commentary za wakristo uelewe kwanza ndio uje hapa ,Matthew 19:29
Everyone who has left houses, or brothers, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my name's sake, will receive one hundred times, and will inherit eternal life.
Utapata mara 100 kwa kile utakachoacha dunia mke utapata mara mia ukimfuata bwana 😂😂😂huko peponi...Ahadi za bwana ni za kweli ndo kinachowatoa roho.
Kwani hilo andiko halino ni ahadi ya uongo?Kuna mtu ana baba 100 au mama 100? ,mbusu jiwe soma commentary za wakristo uelewe kwanza ndio uje hapa ,
Usilete maana zako kwa wakristo, ndio maana Kuna waelezeaji wa maandikoKwani hilo andiko halino ni ahadi ya uongo?
Masai vip hebu soma andiko ndo ahadi mlidanganywa mtapata mara mia mia ndo andiko ambalo linatumika katika kushawishi watoa sadaka😂😂😂watapata mara mia ya kile watoacho ...Nilikuwa huko kanisani huniambii kitu
Maandiko ni ya uongo sio?😂😂😂 Na yapo kweny bible hyo ndo ahadi mmepewa ni 100 times ya kupata huwezi kujibu mpaka nakufa ...Usilete maana zako kwa wakristo, ndio maana Kuna waelezeaji wa maandiko
Hakuna mtu kupata baba 100
Shall receive an hundredfold.--The better MSS. have "manifold more," as in St. Luke. The received reading agrees with St. Mark. Here it is manifestly impossible to take the words literally, and this may well make us hesitate in expecting a literal fulfilment of the promise that precedes. We cannot look for the hundredfold of houses, or wives, or children. What is meant is, that the spirit of insight and self-sacrifice for the sake of God's kingdom multiplies and intensifies even the common joys of life..
Nimekujibu kwamba Kuna waelezeaji wa maandiko, sio unakurupuka na maana zakoMaandiko ni ya uongo sio?😂😂😂 Na yapo kweny bible hyo ndo ahadi mmepewa ni 100 times ya kupata huwezi kujibu mpaka nakufa ...
Ukijibu nimekaa pale ...Naona unazunguka tu kweny kingereza 😂😂
Utapata wake 100 baada ya kumfuata yesu
Jibu swali sitaki porojo ...Elimu hauna hata kusoma hujui ?Nimekujibu kwamba Kuna waelezeaji wa maandiko, sio unakurupuka na maana zako
Upo na wake 100 mbona hutaji baba 100 mama 100 ndio ujiulize maana yake nini
Jibu langu ni hili au hukusomaJibu swali sitaki porojo ...Elimu hauna hata kusoma hujui ?
😂😂😂😂Jibu lip andika kiswahili watu wote wajue aliyetoa maelezo kwanza hajielewi .Jibu langu ni hili au hukusoma
Shall receive an hundredfold.--The better MSS. have "manifold more," as in St. Luke. The received reading agrees with St. Mark. Here it is manifestly impossible to take the words literally, and this may well make us hesitate in expecting a literal fulfilment of the promise that precedes. We cannot look for the hundredfold of houses, or wives, or children. What is meant is, that the spirit of insight and self-sacrifice for the sake of God's kingdom multiplies and intensifies even the common joys of life..