Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Hii kitu ipo kila sehemu kwenye shughuli za utalii
 
Haishangazi.

Naikumbuka reaction ya shangazi wa watu kwenye hii issue ya ushoga.

 
Wameruhusu lini? Wapi?
[emoji23][emoji23]
Mzee imekuuma sana hiyo taarifa ya waziri kuwa Unguja ni kitovu cha ukahaba na ushoga hadi unaleta taarifa za uwongo?
Unajua ninyi wakristo munapenda sana kuutusi na kutusi waislam, yaani mukipata nafasi ndogo tu ya kukashifu basi tayari mutamiminika humu kwa mbwembwe kisa ni chuki tu mulizonazo juu ya hii dini,
Kiukweki hakuna atakaekubali kuchezewa au kutukaniwa dini yake vile we unaumia ndivyo hivuo hiyo wenzako wanaumia,
Na hata wewe najua umeumia kwa kutetea mfumo kristo
So madamu media zipo na tunazo tutazitumia vile itakavyobidi kila mmoja atetee imani yake kwa style ile ile
Ukinikera nami nakukera, ukitukana nami natukana vile utarespond nami ndio nitarespond
Vinginevyo
Tuheshimiane kwa kuwa wewe ndio ulianza kuita unguja kitovu cha uislam
 
Kwani sio kitovuni.. unguja ipo sawa na mbinga kiuislam?!
 
Duh zenji wanajielewa kwa kulionyesha Tatizo na kujaribu kulitatua
 
Sirini ndiko uchafu mwingi umejaa..hata wewe kuna matukio ya ajabu unayafanya sirini..ila ukija mbele za watu unakifanya mwema...kimasingi unafiki ndio umewajaa binadamu.

Ila takwimu ziko wazi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…