Unipe tano umaanishe iwe amani, maisha haya haifai chuki, visasi na jealousy

Unipe tano umaanishe iwe amani, maisha haya haifai chuki, visasi na jealousy

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana.


Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz,


Ninavyokisakama kipaza
Kwaheri sauti Ala
Zinaleta mgongano
Ninapotimba
Majita wangu msisite
Njooni mnipe Tano
Nipe Tano nami nikurushe
Mpaka kuchwee eeh eeh
Nipe Tano nami nikurushe
Mpaka kuchwee eeh eeh
🎼🎶🎶🎶🎶🎶

Daz Baba:
----------------
Kama kurap na kuimba
Mic na control
Majani na beat nzito
Bongo record na score
NipeTano tukionana
Gonga tukisalimiana
Peace tukiagana
Fitina haina maana
Unipe Tano umaanishe
Hakuna Jealous
Maisha haya haifai
Sasa kulipana visasi
Hospitali madawa bei ya ghali
Mtaani pesa hakuna tunalia njaa Kali

Critic:
----------
Nashusha rhymes
Tano salamu kwa Masela
Model wa Jela
Nawarusha na Acapella
Rhymes nashuka
Panda mzuka
Kubaya tulipotoka nakumbuka
Nipe beat nipate mzuka
Kichwa kimeshachenguka
Maruhani yameshaamka
Yo.!
Ni Scout ooh ooh
Vinaga ooh ooh
Viunzi tumeviruka kitambo

🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶

La rhumba:
------------------
Nadhani haujanitambua
Kwamba La rhumba namba tata
Ukipenda Nipe Tano
Usipopenda pia swadakta
Nimeshasota sana kwenye ukata
Almanusura kudata
Sasa nataka kwenda juu
Kamwe chini nisishuke
Shida nilizopata
Utotoni nisikumbuke
Niishi kwenye raha mustarehe
Sherehe kila saa
Nisitembee kwa miguu tena
Bali kwa Motokaa
Mi nataka
Ni-shine zaidi ya hapa
Niwe bonge la rapa
Na ku-make chapaa
Baadae nisije toka kapa

Pablo:
----------
Nipe Tano
Nipe Hi njoo usikie michano
Kumbe hawa wazushi wote wamo
Tupo round table
Tupo tupo more stable
Tupo Kamiligado
Tupa rhymes dabo dabo
P.A.B.L.O. yaani Pablo
Nipe Tano
Sua Side na Daz discipline mapambano
Vina vya kutisha vinawadatisha

🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶

Sajo:
--------
Nipo simple kama X
Busy kama Taxi check
Nakuja race upesi
Yo.! Mic check One Two
Mi ndio Jeki
Mi ndio breki
Mi ndio verse
Mi ndio Bass
Mi ndio Radio
Mi ndio Tape
Yaani noma tu
Noma tu
Nakuacha unagaa gaa
Sikia sauti ya kachaa nigga
Five niggah.!
Sikia.. Verse ya chupa
Niite Sajo a.k.a. Mentali
Yakimwagika hayazoleki maji
Kachaa mwenye kipaji
Nakupa dibaji mpaka univike taji
Niite chupa.!

*****************
 
Mkuu kuna jamaa amechana humu anaitwa SEWA SIDE..halafu sijaona uki mentio verse yake
 
Enzi muziki ukiwa muziki, siyo muziki kiki kama siku hizi.
 
Daz enzi zake alikua mtu haswa. Kunae ile litu inaitwa Elimu Dunia ni funzo sana
 
Back
Top Bottom