Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
- Thread starter
- #21
kumbe nawe unashindana na UD,maaana mfanoi wako umetolea hapo,...kijifananisha na UD ``the living Giant`` .....mtasubiri sana
dead body
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe nawe unashindana na UD,maaana mfanoi wako umetolea hapo,...kijifananisha na UD ``the living Giant`` .....mtasubiri sana
Haaaah!boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula
kama wasomi wote nchi hii watakua hivi.....sijui tunaelekea wapi??? kizuri hakitangazwi mkuu kizuri kinajitangaza!!!! mi napiata.....1.Mara oooh, udom wanafundishwa na tutorial, kuanzia nimeanza coz zangu sijawah fundishwa na tutorial isipokua kipind cha LG. Ni chuo gan Tanzania hakina tutorial?
2. Eti udom chuo cha kata. Wengi vyuo vyenu vipo kama secondary, udom ni bonge la nchi iliyo na kila kitu ndani yake, chuo gan tanzania kinaweza kuchukua zaid ya wanafunz 40000 kwa makadirio ya chini? Mmepigwa gep kwaiyo lazma mta diss.
3.Ninasoma education boom nimelamba 100% kuliko mambulula wa vyuo vingine.
4. Nikimaliza napata ajira kama kawa na mshahara ni sawa disregard umesoma chuo gan
5.udom life kama Mbele vile, furniture kama za Naura spring au kibo palace alafu imagine nalipia jero, muache kudis sasa.
6. Udom room unakaa hata mwenyewe ukitaka wengine kila cku kukimbizana na daladala,mara kodi ya nyumba,mara kitanda kimoja mlale wawili,mmmh! Lazima utadis.
7. Tatizo la mikopo lipo social na humanities huku education unalamba boom at a time
ni kweli hakuna organization isiyo na changamoto. Changamoto za udom ni
1. Siasa za kikwete kwenye uteuzi wa viongoz
2. Udini kwenye nafas za ajira
3. Kucheleweshwa kwa mikopo kwa watu wa humanities
leo hii ukitaka kujua Udom nch zingine wanakikubali kuna mamia ya watu kutoka msumbiji, malawi botswana na zimbabwe.
Leo hii udom kina miaka 4 lakini kina compete na Ud cha zaid ya miaka 50. So baada ya kikwete kuondoka madarakani hakuna chuo tanzania kitafikia udom kwa kila kitu.
Sasa kuna competation kubwa kati ya ud na udom ndo maana kila cku utaskia kashfa kuhusu udom.
Mmmmmh!! Lazima mkae!!!
boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula
kwani aliyeandika ni msomi(japo sina imani na elimu yake) au ni wasomi?? mbona unajumuisha wote???Wasomi wa Tanzania, haya hayawasaidii, fanyeni mambo mengine ya msingi. Kushindanisha vyuo ni ujinga na utoto.
Kumbe kuna mtu anaitwa Tutorial naye anajua kufundisha watu! Hongera.
kama wasomi wote nchi hii watakua hivi.....sijui tunaelekea wapi??? kizuri hakitangazwi mkuu kizuri kinajitangaza!!!! mi napiata.....