unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula
Haaaah!
Hii kozi hapo kwenye red "bed mad" si itakuwa ya kitanda cha KICHAA hii....
 
1.Mara oooh, udom wanafundishwa na tutorial, kuanzia nimeanza coz zangu sijawah fundishwa na tutorial isipokua kipind cha LG. Ni chuo gan Tanzania hakina tutorial?
2. Eti udom chuo cha kata. Wengi vyuo vyenu vipo kama secondary, udom ni bonge la nchi iliyo na kila kitu ndani yake, chuo gan tanzania kinaweza kuchukua zaid ya wanafunz 40000 kwa makadirio ya chini? Mmepigwa gep kwaiyo lazma mta diss.
3.Ninasoma education boom nimelamba 100% kuliko mambulula wa vyuo vingine.
4. Nikimaliza napata ajira kama kawa na mshahara ni sawa disregard umesoma chuo gan
5.udom life kama Mbele vile, furniture kama za Naura spring au kibo palace alafu imagine nalipia jero, muache kudis sasa.
6. Udom room unakaa hata mwenyewe ukitaka wengine kila cku kukimbizana na daladala,mara kodi ya nyumba,mara kitanda kimoja mlale wawili,mmmh! Lazima utadis.
7. Tatizo la mikopo lipo social na humanities huku education unalamba boom at a time
ni kweli hakuna organization isiyo na changamoto. Changamoto za udom ni
1. Siasa za kikwete kwenye uteuzi wa viongoz
2. Udini kwenye nafas za ajira
3. Kucheleweshwa kwa mikopo kwa watu wa humanities

leo hii ukitaka kujua Udom nch zingine wanakikubali kuna mamia ya watu kutoka msumbiji, malawi botswana na zimbabwe.

Leo hii udom kina miaka 4 lakini kina compete na Ud cha zaid ya miaka 50. So baada ya kikwete kuondoka madarakani hakuna chuo tanzania kitafikia udom kwa kila kitu.
Sasa kuna competation kubwa kati ya ud na udom ndo maana kila cku utaskia kashfa kuhusu udom.
Mmmmmh!! Lazima mkae!!!
kama wasomi wote nchi hii watakua hivi.....sijui tunaelekea wapi??? kizuri hakitangazwi mkuu kizuri kinajitangaza!!!! mi napiata.....
 
Wasomi wa Tanzania, haya hayawasaidii, fanyeni mambo mengine ya msingi. Kushindanisha vyuo ni ujinga na utoto.
 
Kaka zenu tunawasubiri huku uraiani mje mtusaidie kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi (na hii ndio kazi ya wasomi wakishirikiana na sie tulioishia darasa la VII A), kimsingi kinachotakiwa ni umetoka na nini chuoni na si umetoka chuo gani kwani kuna vyuo bado ni taasisi za elimu ya juu lakini zinatoa product nzuri kwa fani husika. Kuna ambao wamesoma shule nzuri lakini mwisho wa siku wakapitwa na watu wa zile zetu kwani yote yanatokea hivyo kama mpo hapo UDOM komaeni ili kudhihirisha hicho mnachokisema.
 
boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula

naona unataka kufanya watu wote wajinga na hawajui hapo udom,wengi tumesoma na na bado tunaendelea kusoma hapa udom,katika yoote ulioongea sojaona la maana zaidi ya kuanza kujibagua etieductiona na humanities au udom na udsm!hivi ni watu gani mashuhuri walishakuja hapa udom kufanya midahalo au mihadhara kama ud?ni tafiti kiasi gani wanafunz wamefanya na zikafanya kazi ya kwako ikiwa miongoni mwake?ni shughuli gani ya kitaalam ambayo udom inatoa na ikatambulika kitaifa kama udsm (ushauri natafiti kama za kina bana)kama kama hamna ujue bado upo kwenye kiza na tuna kazi ya ziada kujinasua
 
Wasomi wa Tanzania, haya hayawasaidii, fanyeni mambo mengine ya msingi. Kushindanisha vyuo ni ujinga na utoto.
kwani aliyeandika ni msomi(japo sina imani na elimu yake) au ni wasomi?? mbona unajumuisha wote???
 
ukiona mtu anadai usawa jua kabisa kwanza yeye hayuko sawa....kama UD na UDom ni sawa kwanini unatafuta usawa huo??? Bila shska kumbe chuo unachosoma hakiko sawa...
 
Is this the best we can do? A narrative so shallow guluguja couldn't swim?
 
Tumechoka kusoma haya maujinga jamani. Siku zote mtu asiekua na uwezo kiakili na hajiamini huwa anakimbilia kwenye mwamvuli wa chuo alichosoma na kuviponda vyuo vingine.kumbuka kwamba utakapokua kwenye usahili wa kazi chuo chako wala mkuu wa chuo hatakuwepo na kitapimwa kilichopo kichwani mwako na sio chuo chako. wewe ulieleta mada bahati yako tu ni kwamba nyie wa education huwa mnapata kazi bila hata usahili (mnachukuliwa tu bila kupimwa uwezo wenu) otherwise ungekuja kushuhudia mtu wa chuo kingine anapata kazi nyie mnaojivunia mijengo mkabaki mkikodoa macho. Tumechoka na haya mashindano ya kijinga na yasiokua rasmi
 
Shida kubwa ni kwamba watu wameacha kufuatilia masomo yao na kujikita kwenye kutambishiana vyou wanakosoma. Cha kufulaisha maisha kitaa hayachagui umesoma chuo gani?. Na siku zote mwelefu hajigambi na vilevile chuoni ni kupita.:majani7:
 
kama wasomi wote nchi hii watakua hivi.....sijui tunaelekea wapi??? kizuri hakitangazwi mkuu kizuri kinajitangaza!!!! mi napiata.....

Mtoa mada alikuwa ametoka kula wali maharage akawa ameshiba akaona bora naye apost kitu jf.watu wanaangalia quality output yeye bado anafarijika na kitanda poor him
 
UDOM chuo changu nakupenda kwa moyo wote,MUNGU AKUBARIKI ili wanaokudis waendelee kuumia sisi tunapeta tu na Chuo chetu. Kumbuka mti wenye matunda ndo hutupiwa mawe 003.jpg umeona?
 
Wahitimu UDOM ngumu kupata kazi!

Ni chuo kama shule za kata!

Ofsini kwangu kazi hawapewi... uwezo ni mdogo sana ukilingasha na vyuo vingine!

Quality matters and not quantity!
 
Back
Top Bottom