Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula
kwani aliyeandika ni msomi(japo sina imani na elimu yake) au ni wasomi?? mbona unajumuisha wote???
jamaaa. uko blok gan nikutafte. mie nko h.65. karbu sana mao.
vilaza utawajua kwa maneno yao tu, pole sana najua siyo kosa lako, ni uwezo mdogo wa akili ndiyo unaokusumbua.
Umenifurahisha mkuu,halafu ndo mwalimu mtarajiwa huyo wa kutufundishia watoto wetu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wahitimu UDOM ngumu kupata kazi!
Ni chuo kama shule za kata!
Ofsini kwangu kazi hawapewi... uwezo ni mdogo sana ukilingasha na vyuo vingine!
Quality matters and not quantity!
hopeless...lete gwene nzikian koz umufil maene akube constipation degasi uki.