unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

umalaya..,vtoto vya hapo vnajiuza bureeee adi aibu
 
Chuo gani lecture theatre hakuna jenereta?umeme ukatikapo lecture za saa 12-2 inakuwaje?kama sekondari ya kata tu!
 
boya na 1 yangu ya 5 Pcm. Kozi za ed Ud zote zimekua za kuvuta ndala.
Siku iz watu wana piga Bed PPM, BED ICT, BED MAD ambazo hazipatikani kokote zaidi ya udom. Umesikia mbulula

vilaza utawajua kwa maneno yao tu, pole sana najua siyo kosa lako, ni uwezo mdogo wa akili ndiyo unaokusumbua.
 
Hapa mtoa mada naona bado unamawazo ya kidaftari daftari.
Ubora wa chuo kwangu mimi ni jinsi gani wewe mwanafunzi utakavyopikwa na kupikika ili kuwa mtaalam hasa utakayeweza kuleta mabadiliko katika jamii husika.kwangu mimi ubora wa chuo sio tu sehemu ya kutolea maarifa tu bali ni sehemu ambayo mtu anapata maharifa yanayoweza kutenda kazi na kulrta mabadiliko katika taifa au jamii.Na sio mJengo, ukubwa au wingi wa maprof vilaza wasiosubutu hata kujaribu kuleta mabadiliko au kukemea kwa ujasiri.
 
Umenifurahisha mkuu,halafu ndo mwalimu mtarajiwa huyo wa kutufundishia watoto wetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

na wewe unamtoto sikuiz. Nakufaham vzur. Kwenu vilaza karibia wote unajitapa jf
 
Wahitimu UDOM ngumu kupata kazi!

Ni chuo kama shule za kata!

Ofsini kwangu kazi hawapewi... uwezo ni mdogo sana ukilingasha na vyuo vingine!

Quality matters and not quantity!

ile biashara yako ya madafu ndo unaendelea nayo? Endelea kuajir hao wa vyuo vingine kwasababu wanafix. Mwene akisu 0‹2¨ªk de0Š1
 
Back
Top Bottom