Unique Dadaz: Wako wapi hawa wanamuziki?

Unique sisters - Baishoo, Sababu Gani. Nliwapenda sana hao wadafada. Kuna wadada wengine nao wamekimbia game kama Josephine alieshirikishwa na soggy kibanda cha simu na RENEE RAMIRA alieimba "ngoma ya kwetu". Muziki wa Tanzania hauko fair kabisa kwa wadada.
 

Miaka ya nyuma kulikuwa na thread kuhusu Renee..walisema aliokoka hivyo aliacha muziki kwa hiyari yake
 
Big up sana mshikaji upo kwenye game kitambo cc MTAZAMO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…