Unique Dadaz: Wako wapi hawa wanamuziki?

stardust JK

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,990
Reaction score
4,241
Kitambo saana hatujawasikia hawa mabinti Rahma, Radhina na Radhia Kipozi, wapo wapi kwa sasa. Muziki wameacha?

FB_IMG_15796091877961706.jpeg
FB_IMG_15796094749284813.jpeg
FB_IMG_15796094069376885.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unique sisters - Baishoo, Sababu Gani. Nliwapenda sana hao wadafada. Kuna wadada wengine nao wamekimbia game kama Josephine alieshirikishwa na soggy kibanda cha simu na RENEE RAMIRA alieimba "ngoma ya kwetu". Muziki wa Tanzania hauko fair kabisa kwa wadada.
 
Miaka ya nyuma kulikuwa na thread kuhusu Renee..walisema aliokoka hivyo aliacha muziki kwa hiyari yake
 
Unique sisters - Baishoo, Sababu Gani. Nliwapenda sana hao wadafada. Kuna wadada wengine nao wamekimbia game kama Josephine alieshirikishwa na soggy kibanda cha simu na RENEE RAMIRA alieimba "ngoma ya kwetu". Muziki wa Tanzania hauko fair kabisa kwa wadada.
Big up sana mshikaji upo kwenye game kitambo cc MTAZAMO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom