Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Enzi hizo ustar uliondoka na wengi sana lilipokuja swala la UKIMWI maana ni ugojwa ambao ulikuwa bado hajujatiliwa mkazo, ile kukubalika na wadada au wababa wengi baada ya kuupata umaarufu, wasanii wetu welishindwa kabisa kutulia ikawa ni kuvua chupi hovyo.

UKIMWI ulichukua wengi mno, na hata sasa mastar wengi wanao kwa kushindwa kwao kuuhimili umaarufu wanaoupata ukubwani.
 
INASIKITISHA SANA
 
October 2004 ndipo njugu zilianza kutolewa rasmi Tanzania ikiwa na watu 440,000 wenye maambukizi ya AIDS
 
Kama anatumia karanga maambukizi kwenda kwa mtu mwingine huwa yanapungua
 
October 2004 ndipo njugu zilianza kutolewa rasmi Tanzania ikiwa na watu 440,000 wenye maambukizi ya AIDS
Mbaazi zinasaidia mno. Kuna jamaa yangu kaaza kula tangu 2005, na mapaka sasa hivi anadunda vizuri kabisa. Huo mwaka 2005 kabla ya kuanza kutumia alikuwa karibia aondoke.
 
Mimi mtoto wa makumbusho karibu na makumbusho shule ya msingi usawa wa Bahari Motors ya mzee wa Sera ya ubwabwa uchaguzi mkuu uliopita😆 . Mwananyamala kwa Kopa, Victoria, Kijitonyama yoote ndo maeneo niliyokulia mkuu.
Du kuna demu mmoja nilitoka naye Kariakoo kuja Makumbusho, tall tall hivi yuko yuko na mtoto wakike kama wa miaka 7-8, mkali kweli kweli. Dala dala zilikuwa shida na yeye alikuwa amepata siti ya kukaa na huyo mtoto, akaniita, na kumpakata ili mimi nikae. Sikuwa kwenye mazingira ya kuweza kumsemesha lakini mpaka sasa hivi bado namkumbuka. Atakuwa anaishi hayo hayo maeneo unayoishi.
 
Mzee baba ulifeli wapi hata number hukuomba?😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…