pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
List inaanza na maskini walio wengi na inaisha na walio wachache kulingana na takwimu za kila nchi, sio random bana. Alafu hapo awali nilimaanisha nigeria ina maskini zaidi ya Milioni mia na sio laki moja. Takwimu ziko sawa wanigeria wanakaribia millioni 200 na hapo asilimia ya masikini ni 51.95%.soma vizuri hiyo orodha, iko randomly. na ukienda kwenye kiziduo utaona idadi ya masikini Nigeria inafika 99,000k. SASA NCHI ina watu wangapi?