United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

Inakuwaje hizi middle income zina masikini karibu sawa na ldc???!??🤦🤦🤦🤦
 
Maneno yako ni wishful thinking tu na hayabadili ukweli wa mambo kwenye ground,Mzee baba uchungu ukikushika nenda leba
Hakuna anayeichukia nchi yake ila kujipamba kwa urembo wa uongo na unafiki hakusaidii kuboresha hali ya maisha,ukweli lazima usemwe ona sasa tunavyoumbuliwa
Anaumbuliwa nani!!!!..labda ni mtu mjinga anayeweza kudhani kuwa 38% ya almost pop 45mil (so called middle income) ni sahihi kumcheka wa 55% pop 50mil..

Umasikini na africa ni kama pete na kidole,but kenya kuna umasikini wa kutisha,sometimes you don't need papers to make you asured
 
Heee...seems hii section ya Kenya ndiyo imejaa wenye UELEWA WA JUU .Unapatembelea sana ..😊☺☺

Probably, but don't count yourself in.
Few remains, wengine sijui walienda wapi.
Ten years back, we had very constructive and educative discussions in here JF. But now tumevamiwa na watu wengi wasiojielewa.
 
I don't count myself in..and I will never. I leave that to the pompous erudite individuals like you.
Hatuwezi fanana sie sote. & FYI wadanganyika wenye UELEWA WA CHINI kama MIMI ndio wengi sana kwa hili jukwaa. Wakenya ni wachache sana na wote wana uelewa wa juu EXCEPT me.
 
Uhuru wa maoni.
 
Back
Top Bottom