pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
List inaanza na maskini walio wengi na inaisha na walio wachache kulingana na takwimu za kila nchi, sio random bana. Alafu hapo awali nilimaanisha nigeria ina maskini zaidi ya Milioni mia na sio laki moja. Takwimu ziko sawa wanigeria wanakaribia millioni 200 na hapo asilimia ya masikini ni 51.95%.soma vizuri hiyo orodha, iko randomly. na ukienda kwenye kiziduo utaona idadi ya masikini Nigeria inafika 99,000k. SASA NCHI ina watu wangapi?
List inaanza na maskini walio wengi na inaisha na walio wachache kulingana na takwimu za kila nchi, sio random bana. Alafu hapo awali nilimaanisha nigeria in maskini zaidi ya Milioni mia na sio laki moja. Takwimu ziko sawa wanigeria wanakaribia millioni 200 na hapo asilimia ya masikini ni 51.95%.
Teh teh teh tihiii
umeiona Nigeria?
unaweza kusemaje?
Sijaelewa unamaanisha nini, tafadhali chambua hizo takwimu upya. Mbona idadi kamili naona wameieka wazi hapo?walio wengi in absolute or relative term.
Umenena. Hata Kenya wakiacha ufisadi wanaweza fika mbali sanaKwa maisha ya sasa kaka hauna haja ya kukumbushwa,lazima watu wabadilike tu kwa hiari...angalia wachina walikua masikini miaka 25 iliopita lakini kwa sasa ni level ingine; hawajawahi badili tamaduni zao lakini wameendelea sana...
Middle east nao to be specific UAE miaka ya 1980 Dubai ilikua pori tu hakukua na kitu cha maana lakini angalia mahali walipo sasa...lakini muarabu hajawahi badili culture yake...
Waswahili tumejaa na uvivu hatuna haraka hatujui kuchangamka,hatupendi shule na kazi...hivi vitu tukiviacha mara moja miaka 20 ijayo tutakua mbali sana tena sana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sijaelewa unamaanisha nini, tafadhali chambua hizo takwimu upya. Mbona idadi kamili naona wameieka wazi hapo?
Kitu pekee huwa sielewi ni hii nchi ya Nigeria,Nigeria Nini? Nigeria ndio nambari moja wa watu maskini dunia nzima
Man, you are in a very sore mood today.ok yay gotta it.
it's in absolute term.
Mimi huwambia kila mara wao wako in denial while sisi tunaanika yetu hawasikii. Hata source nimewatolea humu mara kwa mara kuwa wako in denial bado wanabisha.watu wapambane na hali yao, kenya is not in denial over this issue, our media and government is actively aware and engaged over this serious matter and time will reveal the progress we make in the coming years
Muafrica alilaaniwa sioni tukidevelop any time soon unless tubadalishe behaviour zetu.Kwa maisha ya sasa kaka hauna haja ya kukumbushwa,lazima watu wabadilike tu kwa hiari...angalia wachina walikua masikini miaka 25 iliopita lakini kwa sasa ni level ingine; hawajawahi badili tamaduni zao lakini wameendelea sana...
Middle east nao to be specific UAE miaka ya 1980 Dubai ilikua pori tu hakukua na kitu cha maana lakini angalia mahali walipo sasa...lakini muarabu hajawahi badili culture yake...
Waswahili tumejaa na uvivu hatuna haraka hatujui kuchangamka,hatupendi shule na kazi...hivi vitu tukiviacha mara moja miaka 20 ijayo tutakua mbali sana tena sana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kitu pekee huwa sielewi ni hii nchi ya Nigeria,
Hata kama wangekuwa na watu milioni 300,
First of All, population is not always a bad thing, It can be an Advantage, especially for investors,
Pili, with a GDP of over $500bn, the Country is blessed with massive oil, kiasi kwamba wanapata bulk revenues at once,
Why then they have poor people, poor cities, poor infrastructure, poor Education system
The day I Saw they built this SGR (extremely substandard) for $12bn niliwadharau Rasmi,
Kweli kabisa,huwa naitazamia kenya iwe juu sana in short time kutokana na kuwa na uchumi wezeshi,lakini nashangaa nao wanapiga marktime kama sisi wakati bajeti yao ni kubwa karibu mara mbili ya tanzania,nna idadi ya watu wao ni karibia nusu ya watanzania,na bado pia eneo lao ni dogo tu! Ufisadi unawarudisha sana nyuma ndugu zetu hawa!Umenena. Hata Kenya wakiacha ufisadi wanaweza fika mbali sana
Man, you are in a very sore mood today.