United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

Ndo maana nchi ikifanya ka project kamoja tena kamejaa ufisadi makelele na sherehe mwaka mzima as if ndo mwisho wa umaskini wakati safari bado ni ya generation kibao kwa speed za kiafrica
Sio kweli na ukome kujidharau kiasi hicho wewe fukara wa kufikiri! Utabaki hivyo hivyo wewe na lifamilia lako tu na umaskini wako walahi
 
Sio kweli na ukome kujidharau kiasi hicho wewe fukara wa kufikiri! Utabaki hivyo hivyo wewe na lifamilia lako tu na umaskini wako walahi
Maneno yako ni wishful thinking tu na hayabadili ukweli wa mambo kwenye ground,Mzee baba uchungu ukikushika nenda leba
Hakuna anayeichukia nchi yake ila kujipamba kwa urembo wa uongo na unafiki hakusaidii kuboresha hali ya maisha,ukweli lazima usemwe ona sasa tunavyoumbuliwa
 
Kwa maoni yangu. WaTanzania waliomo humu jf ni matajiri. Wakenya humu ni wa kipato cha kati. Ndio maana wanafikiri wameendelea wakijiona. Si maajabu hawajui hali ya Mtanzania wa kawaida. Siku macho yao yatafunguka watajua hawajui. Lakini tusiangalie takwimu hizi tukafikiri tuko vizuri kushinda jirani Mwafrika mwenzio. Ila iwe kigezo ya kujitahidi. Let's eradicate poverty in Africa especially by fighting corruption, tribalism and nepotism
 
Nisaidiwe ku tafsiri hizi data sijalelewa hizo asilimia ndo kiwango cha umaskini au? Mfano hapo Nigeria 51% hiyo ni nn ?
 
Umedokoa vielelezo vichache vya umaskini (poverty indicators) pasipo kueleza maana yake nini. Fafanua ili wanaJF wengi wachangie mawazo.

Pia katika vielelezo vya umaskini, kila nchi huwa na vipaumbele vyake vya kupunguza umaskini kulingana na hali ya kiuchumi ya nchi hiyo.

Kwa mfano Tanzania ni nchi tajiri wa "rasmali nchi" (natural resources) ambazo hazijatumika au pengine zimetumika vibaya ili kupunguza/kuondoa baadhi ya vielelezo vibaya vya umaskini km afya, elimu, maji nk. Sababu mojawapo kubwa ni uhaba au ubora mdogo wa miundo mbinu km barabara. Kinachofanywa sasa na Serikali iliyoko madarakani ni kuboresha miundo mbinu hiyo ili "rasmali nchi" hizo ziweze kutumika vizuri kuondoa umaskini.
 
Kusema ukweli Tanzagiza imewashinda Nigeria kwa poverty at 55% against 51% yaani by 4% considering 55% of 60 million people is 33 million than kenya and Uganda kenya combined.
 
Kusema ukweli Tanzagiza imewashinda Nigeria kwa poverty at 55% against 51% yaani by 4% considering 55% of 60 million people is 33 million than kenya and Uganda kenya combined.
Painful truth.
 
Wapimbavu hiyo mizungu walahi!
Hii ndio inaitwa mind control, wanataka tuji feel inferior, madadeki zao, wao wadhungu wenyewe wanaishi na mikopo kutoka China walahi
Mijinga sana hii midhungu!
UN ni wazungu tena yani
 
Kusema ukweli Tanzagiza imewashinda Nigeria kwa poverty at 55% against 51% yaani by 4% considering 55% of 60 million people is 33 million than kenya and Uganda kenya combined.

Mean while 38%that of kenya ni 18ml people.

18%ml people na bado unasherehekea,ukumbuke pia hao masikini wa kitz wana nafasi kubwa zaidi ya kutoka kutokana na fursa ya eneo kubwa la nchi tanzania.

So unaweza pima ni kina nani wakuonewa huruma zaidi.
 
Hisibati ilikupiga chenga Mkuu ama ulisomea hapa Arusha chuo cha Uhasibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…