United States of Africa (USA) - 2050

United States of Africa (USA) - 2050

Binafsi siion Africa ikuungana sababu hakuna Africa tena baada ya ukolini tumebaki wa Africa wafaransa, Waafrica waarabu, Waafrica wabelgium, Waafricabritish. Kifupi Africa tumegawanywa kwa tamaduni kadha wa kadha dini, mila, desturi za kigeni tamaa ya madaraka ndivyo vikwazo vikubwa vya Aftica kuungana.
Rais JPM anatumia nguvu kubwa kukipaisha kiswahili Afrika kote ili iwe nyenzo ya kiutamaduni ya kuinganisha Afrika.
 
Free trade agreement between African countries becoming a reality
 
Naona harakati zimepamba moto, wamarekani weusi wanarudi africa kwa kasi ya hatari
African diaspora kubwa sana kutoka Marekani wameshaanza kupiga kambi Ghana, mambo ni moto hasa!
 
Africa magharibi wanatumia sarafu yao mpya ya pamoja inayoitwa ECO
 
"UNITED STATES OF AFRICA ALIULIWA NAYO MUHAMMAR GADDAFI NA AKAZIKWA NAYO MIKONONI MWAKE ".


HUU NDO UKWELI UTAKAOKUWA UN-SOUND/USIOKUJA KUTAJWA VIZAZI NA VIZAZI .
 
"UNITED STATES OF AFRICA ALIULIWA NAYO MUHAMMAR GADDAFI NA AKAZIKWA NAYO MIKONONI MWAKE ".


HUU NDO UKWELI UTAKAOKUWA UN-SOUND/USIOKUJA KUTAJWA VIZAZI NA VIZAZI .
Ni kweli Gadaffi alikuwa ni chachu kubwa katika suala hili, lakini mapambano bado yanaendelea
 
 
Back
Top Bottom