FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais JPM anatumia nguvu kubwa kukipaisha kiswahili Afrika kote ili iwe nyenzo ya kiutamaduni ya kuinganisha Afrika.Binafsi siion Africa ikuungana sababu hakuna Africa tena baada ya ukolini tumebaki wa Africa wafaransa, Waafrica waarabu, Waafrica wabelgium, Waafricabritish. Kifupi Africa tumegawanywa kwa tamaduni kadha wa kadha dini, mila, desturi za kigeni tamaa ya madaraka ndivyo vikwazo vikubwa vya Aftica kuungana.
Ni safari ndefu, ila tutafikaPan African movement. .
African diaspora kubwa sana kutoka Marekani wameshaanza kupiga kambi Ghana, mambo ni moto hasa!Naona harakati zimepamba moto, wamarekani weusi wanarudi africa kwa kasi ya hatari
Kuna mmoja anaitwa dynast amir namkubal sana!! Jamaa anaipenda africa kuliko hta waafrika waliozaliwa africaAfrican diaspora kubwa sana kutoka Marekani wameshaanza kupiga kambi Ghana, mambo ni moto hasa!
Ni kweli Gadaffi alikuwa ni chachu kubwa katika suala hili, lakini mapambano bado yanaendelea"UNITED STATES OF AFRICA ALIULIWA NAYO MUHAMMAR GADDAFI NA AKAZIKWA NAYO MIKONONI MWAKE ".
HUU NDO UKWELI UTAKAOKUWA UN-SOUND/USIOKUJA KUTAJWA VIZAZI NA VIZAZI .