United States of Africa (USA)

United States of Africa (USA)

- Ajira zinazoweza kufanywa na wenyeji, ni mantiki zibaki kwa wenyeji ilmradi wapo wenyeji ambao wana sifa za taaluma husika na hawana ajira.
- Hilo lipo dunia yote, leo hii ukienda kuuza mahindi choma Uchina, India n.k. utaona cha moto.
- Lakini ukienda na kuwa rubani, itaeleweka maana ni vigumu kupata marubani wazawa wasiokua na ajira.
- Hivyo kwa raia wa Uingereza kuandamana wakidai ajira kwa ajili ya wazawa, linaeleweka na kuwa na mantiki na tija.
- Sasa linakuja suala la sie Miafrika, unaandamana ili kufukuza Mwafrika mwenzio, hujali kama ni mtaalam wala nini.
- Unampiga Mwafrika mwenzio na kuwaacha wazungu na wahindi wakifanya kazi za kawaida tu.

Hata hapo kwenu Bongo, ipo siku niliingia kwenye ushindani na jamaa mzungu, ushindani wa kusaka mradi fulani, alinishinda kisa mzungu tu maana hakuwa na sifa sana zaidi ya ubabaishaji wa kuongea Kingereza kwa pua na kuwa na ngozi nyeupe.
Baadaye aliboronga nikaishia kuja mwenyewe kuifanya na kufanikisha hiyo kazi, Waafrika hatuaminiani, hatupendani, tunachukiana, na kuoneana wivu.....ukweli mchungu.
Umeongea kweli kabisa mkuu,hyo ndo shida yetu ss waafrica
 
hatutajua hasara bila ya kujaribu kwanza...ningependa tuige mfano wa EU...sielewi maana ya viongozi wa kiafrika wakikutana addis ababa kila uchao ila wakitoka huko hakuna chochote cha maana kinachoendelea afrika...kwa mfano afrika tuko watu bilioni na...kwa hiyo tukiungana hiyo ni market kubwa sana ya kuvutia investors na market for products..
Legal and human rights.
  1. EU is one of strongest economic areas in the world. With 500 million people, it has 7.3% of the world's population, but accounts for 23% of nominal global GDP.
  2. Poorer counties, such as Ireland, Portugal and Spain have made significant degrees of economic development since they joined the European Union.
  3. The EU has a strong commitment to human rights, preventing discrimination and the due process of law. This makes the EU attractive to countries, such as the Ukraine who wish to share in similar legal and human rights.
  4. EU has enabled people to travel freely across national boundaries making trade and tourism easier and cheaper. According to the European Commission, more than 15 million EU citizens have moved to other EU countries to work or to enjoy their retirement.
Sasa itakuwa ujinga kama tunafanya kwa kujaribu. If your a good analyst lazima ujue hasara na faida. Sasa wewe unaangalia faida pekee. So your not realistic.
Tulipokuwa tunaungana Tanganyika na Zanzibar we considered the positives and negatives then we prepared to solve them. Ndiyo maana the only united Nation in Africa is only Tanzania.

I ask you again what are the demerits of the united?
1. Socially,
2. Economically
3. Politically

Do you know the background of Africa!? What is the current situation of Africa?
Why Kenya is still tribalism country in Africa!?
If you can not unite the people of your country, how can you unite Africa?
 
Kwani History of Kenya yafunzwa Africa mzima.
Nashangazwa mtu akijifanya eti yuafahamu nyingi tu kuhusu Kenya kuliko nchi yake.

Sasa " Kenia (iki)inamilikiwa na wazungu ardhi " yote " yakupotezea usingizi kwa nini ?

Leave those speculative " issues " to us, Kenyans.
Huwa nashangaa hadi nairaland wajifanya kutujua sana with our Asian and European citizens more than I give a crap about them.

Hiyo kazi ya kudukuza kwa jirani badala ya kushughulika na nyumba yako should be nothing to brag about.
 
Tell me the policy of land ownership in your country (Kenya). Usijifanye kwamba hatuijui nchi yenu.
If you tell me I will tell you about Tanzania.
 
The idea behind a United Africa was coined by the AU through a passport which will be for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas. I pray that one day we will become a United Africa where there is unrestricted business and travel of goods and people. We can even develop a single continental currency, single flag, aligned policies and de facto capitals. We can make Nairobi the main capital au sio? 😀😀😀

East Africa iliyokuwa na Nguvu Kenya mliiua kwa ubinafsi wenu na matakwa ya mabwana zenu GB, leo mnataka USA mtaiweza?

Soma habari za Nyerere na Nkuruma walishalifikiria hilo na likashundikana
 
Tell me the policy of land ownership in your country (Kenya). Usijifanye kwamba hatuijui nchi yenu.
If you tell me I will tell you about Tanzania.
Why should I be reporting to you ? Ni mjadala wenye hautakusaidia.
Wewe shughulika na nchi yako !
Wachie wengine nchi zao !
 
Why should I be reporting to you ? Ni mjadala wenye hautakusaidia.
Wewe shughulika na nchi yako !
Wachie wengine nchi zao !
So why do you want to unite wakati hutaki kuelezea issue za kwako? Leta report hapa tuione then we challenge it. Siyo kulazimisha unit wakati wewe mwenyewe huna uwezo wa kuwa na umoja.
This is National Anthem of Tanzania first verse in Eglish

God, bless Africa
Bless its leaders
Widsom, unity, and peace
These are our shields
Africa and its people

Kenyan National Anthem:
O God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.

The song does not even talk about Africa. Wimbo unaongelea mipaka ya kenya pekee.
 
The idea behind a United Africa was coined by the AU through a passport which will be for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas. I pray that one day we will become a United Africa where there is unrestricted business and travel of goods and people. We can even develop a single continental currency, single flag, aligned policies and de facto capitals. We can make Nairobi the main capital au sio? 😀😀😀

Binafsi napinga na sitaki US of Afrika, naipenda nchi yangu ya TZ na sitaki kuipoteza, kushirikiana Kiuchumi, sawa lkn siyo kuungana na kuwa nchi moja, kwangu ni HAPANA!
 
Huo uchafu wa us Africa sitaki kuusikia kama nisivyo taka kusikia kuhusu eac
 
Kama mnapigania Mlima Kilimanjaro na ziwa nyasa tu je mengine itakuwaje
 
Kenya ardhi yote inamilkiwa na wazungu. Fukuzeni kwanza hao wakoloni ndiyo unite uwezekana. Hatuwezi kuungana na puppets
Kenya ardhi yote imemilikiwa na wazungu? Ardhi yote? Wewe hutoa wapi huu upuzi?
 
Soma news hii hapa
https://thisisafrica.me/owns-kenya/

vilevile
According to Maawy, Land ownership in Kenya is distributed among the following groups:

1. Community Land 71%

2. Public Land 15%

3. Private Land 14%

Lands Ministry Reveals Largest Land Owners in Kenya [LIST]
They own ranches. Sanasana sehemu za Laikipia na Nakuru. The mzungus. These were former Maasai areas, so technically no owners. Out of those counties hutapata mzungu anashamba kubwa, na hao wazungu ni Kenyans. The rest of Kenya utapata wakenya wana mashamba, 1 acre, 2 some even over 100 acres. Most rural Kenyans do own a pice of land mate. Like the rift valley. Kalenjins own large tracts of land btw, do some research. Tens and some over 100 acres. Thats where most of Kenya's produce hutoka
 
So why do you want to unite wakati hutaki kuelezea issue za kwako? Leta report hapa tuione then we challenge it. Siyo kulazimisha unit wakati wewe mwenyewe huna uwezo wa kuwa na umoja.
This is National Anthem of Tanzania first verse in Eglish

God, bless Africa
Bless its leaders
Widsom, unity, and peace
These are our shields
Africa and its people

Kenyan National Anthem:
O God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.

The song does not even talk about Africa. Wimbo unaongelea mipaka ya kenya pekee.
You mean the anthem of South Africa?
Kumbuka mleta mada anazungumzia muungano wa Africa, not every topic on Kenyan section is about Kenya vs Tz
 
Back
Top Bottom