Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Marais Magufuli, Kagame kuzindua miradi Rusumo katika eneo la mpaka wa Tanzania na Rwanda kesho
Marais Magufuli, Kagame kuzindua miradi Rusumo katika eneo la mpaka wa Tanzania na Rwanda kesho - wavuti
Mawaziri 3 kuzindua ujenzi mradi wa umeme Rusumo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa kushirikiana na mawaziri wenzake wa kutoka Rwanda na Burundi leo wanatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa megawati 80 katika eneo la Rusumo katika Mto Kagera wilayani hapa.
Mradi huo wa kuzalisha na kusambaza umeme katika maporomoko ya maji ya Rusumo katika Mto Kagera utanufaisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi.
http://habarileo.co.tz/index.php/ha...aziri-3-kuzindua-ujenzi-mradi-wa-umeme-rusumo