Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Wanao kufa ni wapalestina wakiwemo wakristo wenzio huyo unaye msimanga ni mmatumbi mwenzio. View attachment 2800505
Habari hizo hazina ukweli.
Na hii sio habari ya kwanza kwa BBC kuwa ya uongo hii ni kama ya tatu.
Leta habari katika vyanzo visivyo vya utata.
Pia mm sio mmatumbi ni MSUKUMA.
Na dini na kabila havifanani.Mwenzio anashabikia wayahudi wanaopinga ukristo.
 
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Swala la Africa ni Swala lingine.. hata wewe hukuzungumzia Waislamu wa africa.. Bali islams generally..

Wekezeni katika Elimu dunia.. Bikra 72 achaneni nazo.
😃😃😃😛😛😀😀 majamaa yanawaza kuoa wake wengi tu.
 
MKUU KICHAPO KIKIKOLEA MNALETA FAKE NEWS KUJIFARIJI🤣🤣🤣😂😂😂
MNALIA NINI SASA NA KUOMBA CEASE FIRE???
SI MLIKUA MNASHANGILIA OCTOBER 07?
MNALIA NINI SASA?
 
Wanajeshi kufa ni kawaida hata watanzania wengi walikufa uganda mwisho wa siku Iddi Amin pamoja na kusaidiwa na wachawi wenzake Walibya na WAPALESTINA walikimbia na wengi walikufa. Kupigana na mashetani yanayojificha hospitali na kuvaa hijabu ni ngumu especially ukiwa mstaarabu kujali raia, hawa wangekutana na muhuni mwenzao kama Hitler angepiga woteee bila kuchagua raia au nani, wangeshasalimu amri. Ustaarabu wa Israel ndiyo unawafanya magaidi waendelee kupiga kelele hadi humu, dawa ya moto ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…