nyie maboya chbat55 na mwenzio oilsumu! mi nna point nane na naenda private! we oil chafu ka umefikisha atleast 7 nakupa hela! mtu una cut point 5 mineno mingi!
tembelea website yao http://www.universityofarusha.ac.tz/
sina hstoria ya kusoma private ktk maisha yang yote kwaiyo cwez nikaja aru wakat kuna muce- udsm
sina hstoria ya kusoma private ktk maisha yang yote kwaiyo cwez nikaja aru wakat kuna muce- udsm
boya mwenyewe kwanza umechaguliwa lichuo la kifala yu kwa sababu ya ukilaza wako
kama umechaguliwa mihayo wangeku2mia sms kama mpiga msuli: ali2miwa sms na chuo cha mihayo
Huna ujanja wa kusoma ardhi wewe...pale hawasomi waliofeli kama wewe..utachezea chaki na kuuza karanga mashuleni mpaka unakufa!!project yangu moja nalipa mshahara wako wa mwaka mzima..nyambaf
Nimeuona mkuu AllenMwita! mpaka sasa private wanaongoza 7 bila(0) dhid ya government.! Wafungaji wa private ni CBE, MOUNT MERU, ST. JOSEPH, ITA ,JORDAN, UNIVERSITY OF ARUSHA, NA ARBSHOP MIHAYO TABORA..!
Ha ha ha!!!, nimecheka sana mkuu, inaonekana wana customer care nzuri sana, btw ni wadogo zangu sio mimi.
nimeamini we ni kilaza CBE ni,.,..
sina hstoria ya kusoma private ktk maisha yang yote kwaiyo cwez nikaja aru wakat kuna muce- udsm
safi sana kijana!!tembelea website yao The University of Arusha Official Website
waulize kama wametumiwa sms kwnye zle namb walizoandka kwny tcu
wewe kumbe mgeni wa jiji! huijui ARU.! wewe ni kilazaa namba mojaaa humu jf! eti aru privatee.! Bora hata ulivyopelekwa huko huko iringaa coz ukitoka kwenu musoma moja kwa moja iringa kwa wajanja duce, na udsm(main campus) utapackiaa tuuu! Hoya oil sumu vp UCLAS unapajuaa?
Nimeuona'! mpaka sasa private wanaongoza 7 bila(0) dhid ya government.! Wafungaji wa private ni CBE, MOUNT MERU, ST. JOSEPH, ITA ,JORDAN, UNIVERSITY OF ARUSHA, NA ARBSHOP MIHAYO TABORA..!
CBE ni government kipo chini ya wizara ya viwanda na biashara.