flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Aaah naapa kwa mungu tcu wakinitupa huko siendi bora nikae nyumbani nisubirie mwakani..nani anataka kusaga lapa akishamaliza chuo??teku..nina 100% nachaguliwa ardhi tena coz point zangu zinaniruhusu..sio wewe umechaguliwa choice ya5 baada ya kugaragaZwa zote nne za mwanzojiandae kwenda teku