University of arusha mzigo umetemwa!!!

University of arusha mzigo umetemwa!!!

jiandae kwenda teku
Aaah naapa kwa mungu tcu wakinitupa huko siendi bora nikae nyumbani nisubirie mwakani..nani anataka kusaga lapa akishamaliza chuo??teku..nina 100% nachaguliwa ardhi tena coz point zangu zinaniruhusu..sio wewe umechaguliwa choice ya5 baada ya kugaragaZwa zote nne za mwanzo
 
Yani nitawaona TCU wa maana wakitoa udsm,sua,ardhi na udom baaaasi

Acha ubinafsi ndugu yangu,sasa vyuo vingine vitatolewa na nani,tena waweza kuta haupo miongoni mwa hivyo ulivyotaja hapo.
 
Acheni kashfa wadau kila m2 humu duniani ana bahati yake kuwa na 2.5 cyo dhambi bhana wa2 wametofautiana hata hapa udsm mbona kuna vilaza wengi na wamekuja na 7 above lakini juzi wamedisco 500 supplementary 9000
 
Back
Top Bottom