University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Wakuu nimepata pale uɗsm ɗiploma ya computer science...sasa naomɓa mnijuze hiv ukichukua ɗiploma pale coict unapata hostel kweli??? Au nianze michaƙato mingine
 
Wakuu nimepata pale uɗsm ɗiploma ya computer science...sasa naomɓa mnijuze hiv ukichukua ɗiploma pale coict unapata hostel kweli??? Au nianze michaƙato mingine
Utapata mkuu saiv at least tatzo LA hostel limepungua
 
Habari wakuu,,kwa wakubwa shkamooni, ninaomba graduates wa UDSM ( udbs) particularly bcom accounting mje hapa mtupe changamoto sisi continuous..naskia second year ni balaa,,naombeni mbinu na ujanja (sio kwa njia mbaya) wa kutoka na gpa not less than 3.5 ,please tusikatishane tamaa haya ni maisha kama unajua hutokua na la kusema bora uupite tu uzi huu... Asanteni wakubwa.
 
Mkuu usiseme hivo hivi unadhan MTU huwa anajipanga akapate supp au carry??....alafu unasema course rahisi are u sure???? Unaijua QUANTUM PHYSICS ww ???....mkuu alafu ujue hizi mambo mfano pale udsm inategemeana na college....sasa kama CONas supp nje nje
ha ha haaa hasa approximation methods na SE(solution of schrodinger eqn)
 
Back
Top Bottom