University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Hamna kitu kirahisi juhudi zako na utii wa kitu unachotaka ndo muhimu.CoNAS imekua kama jadi imefikia pabaya hata finalist anadisco!!!!
CONAS balaa nasikiaa hta yule president Mstaafu E***mo(aliyemuachi a kiti J.jeremia) kaliwa kichwa nae .Nilisoma kwenye gazeti mwanahalisi juzi
 
Habar zenu wana jf
Kulingana na taarifa ya TCU mwaka wa masomo 2017/18 unatakiwa uanze kabla ya tar30/10 VP kwa waliochaguliwa wanatakiwa waanze kurpot tar ngap?
Karbun ,matus yanaruhusiwa pia lakin busara itumike
 
Mim muhucka wa kitambo San ila navuta kiti apa ntakuwepo mpak mwisho wa kufunga ii thread ii
 
Mkuu ukiingia kwebye web ya chuo tazama Almanac itajuelekeza kila kitu hao TCU achana nao
 
Mkuu ukiingia kwebye web ya chuo tazama Almanac itajuelekeza kila kitu hao TCU achana nao
Poapoa mkuu but hawa jamaa wananitia wasasa wameniandikia pending kwenye application yangu why?
Screenshot_2017-10-05-22-09-02.png
 
Hodi udsm.
Bwana apewe sifa,
Tumsifu Yesu Kristo,
Asalam aleikum.
Namshukuru Mungu nimechaguliwa udsm, nimetokea diploma ya sheria, ila nimepangiwa busines administration. Je naweza nikaruhusiwa kuchange course nitoke bba niende llb? Natanguliza shukrani zangu zote.
 
Back
Top Bottom