University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Wakuu nimepata pale uɗsm ɗiploma ya computer science...sasa naomɓa mnijuze hiv ukichukua ɗiploma pale coict unapata hostel kweli??? Au nianze michaƙato mingine
 
Wakuu nimepata pale uɗsm ɗiploma ya computer science...sasa naomɓa mnijuze hiv ukichukua ɗiploma pale coict unapata hostel kweli??? Au nianze michaƙato mingine
Utapata mkuu saiv at least tatzo LA hostel limepungua
 
Habari wakuu,,kwa wakubwa shkamooni, ninaomba graduates wa UDSM ( udbs) particularly bcom accounting mje hapa mtupe changamoto sisi continuous..naskia second year ni balaa,,naombeni mbinu na ujanja (sio kwa njia mbaya) wa kutoka na gpa not less than 3.5 ,please tusikatishane tamaa haya ni maisha kama unajua hutokua na la kusema bora uupite tu uzi huu... Asanteni wakubwa.
 
ha ha haaa hasa approximation methods na SE(solution of schrodinger eqn)
 
Kozi gani kiongozi ila jiamini hakuna jipya chini ya jua ni kupambana mwanzo mpaka mwisho. Mwaka wa pili ni mgumu kiasi na pia ni mwepesi sana
Bcom accounting boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…