Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia www.udsm.ac.tz afu uingie kwenye undergraduate utaipataJaman msaada mwenye pdf ya mkwawa university
Hostel utapata mkuuNaomba msaada namna ya kupata hosteli.
Hostel first year chuo kitakupangia wewe utaenda kwenye notes board utacheki umepangiwa wapi na room no ngapi kama ni mabibo,main cumpos au hostel mpya pale mliman city.Naomba msaada namna ya kupata hosteli.
Utaingia kwenye website ya chuo utaipata utasoma vitu vya msingi kama gharama za id,direct cost, then siku ya orientation ikifika ndo utaenda wewe mwenyewe kuchukua admission latter chuoni ufanye usajili.Jamani naweza kupata joining instruction form ya udsm collage ya agriculture and fisheries, kama kuna uwezekano naomba mnisaidie waungwana.
Ahsante mkuu,na vipi kuhusu kujisajili kwa mfano hujapata mkopo si lazima uende na ela yao?Utaingia kwenye website ya chuo utaipata utasoma vitu vya msingi kama gharama za id,direct cost, then siku ya orientation ikifika ndo utaenda wewe mwenyewe kuchukua admission latter chuoni ufanye usajili.
Hataaa ukipataaa mkopoo kuna kitu kinaitwa direct fee hiyooo lazimaaa ulipe pamoja na bimaa ya afyaa.... Iliii kukamilisha usajili baada ya kumalizaa kujaza fomu utatakiwaaa kwenda na kias cha pesaaa kinacho hitajika kwa ajilii ya adaaAhsante mkuu,na vipi kuhusu kujisajili kwa mfano hujapata mkopo si lazima uende na ela yao?
Mimi walinitaka niconfirm na nikabonyeza kile kidubwana kilichoandikwa confirm baadae paka badirika pakawa pekundu toka kijani apo si ntakua nimeshamaliza kazi au kunachaziada ili kusibitisha zaidi,
Ok ahsante sana,sory mi baada ya kuconfirm imebadilika status yangu apo si itakua tayari mkuuHataaa ukipataaa mkopoo kuna kitu kinaitwa direct fee hiyooo lazimaaa ulipe pamoja na bimaa ya afyaa.... Iliii kukamilisha usajili baada ya kumalizaa kujaza fomu utatakiwaaa kwenda na kias cha pesaaa kinacho hitajika kwa ajilii ya adaa
Sory iyo ya wild life sio yangu but naweza kutumia kama mfano nimekosea kuattach.Ok ahsante sana,sory mi baada ya kuconfirm imebadilika status yangu apo si itakua tayari mkuuView attachment 604355.na Mara ya kwanza palikua na pa kijani apo palipo badirika na kuwa pekundu,View attachment 604363
Ndio kama hujapata mkopo kabisa inabidi ujiandae ada mapema unaweza lipia kwa mwaka mzima au kwa kila semester kulingana na uwezo wako pia pesa ya hostel na matumizi yako wewe mwenyewe kama kula, kunywa, usafiri ,materials, nkAhsante mkuu,na vipi kuhusu kujisajili kwa mfano hujapata mkopo si lazima uende na ela yao?
OK ahsante and unweza nisaidia ilo swali nilouliza apo juu comment no [HASHTAG]#362[/HASHTAG]Ndio kama hujapata mkopo kabisa inabidi ujiandae ada mapema unaweza lipia kwa mwaka mzima au kwa kila semester kulingana na uwezo wako pia pesa ya hostel na matumizi yako wewe mwenyewe kama kula, kunywa, usafiri ,materials, nk
tayari utakuwa umesha confirm, hapo kwenye red unaona wameandika un.confirm maana yake umesha confirm sasa kama unataka kubadilisha maamuzi ubonyeze wakuondoe kwenye systemOK ahsante and unweza nisaidia ilo swali nilouliza apo juu comment no [HASHTAG]#362[/HASHTAG]
Pouwa mkuutayari utakuwa umesha confirm, hapo kwenye red unaona wameandika un.confirm maana yake umesha confirm sasa kama unataka kubadilisha maamuzi ubonyeze wakuondoe kwenye system
Big up mkuuu. Ulipiga miaka ipiNajivunia niligraduate hapo.Walimu wapo vizuri sana.Japo wanabana sana ila ukitoka umeiva.Ujuzi na maarifa sahili.Sikujuta kua hapo.Viva Udsm.Najipanga kurudi Masters 2019 nikipata ruhusa kazini