University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Tutafaidikaje na uzi huu wa udsm sisi ambao sio wanachuo ?
 
Jamani naweza kupata joining instruction form ya udsm collage ya agriculture and fisheries, kama kuna uwezekano naomba mnisaidie waungwana.
 
Naomba msaada namna ya kupata hosteli.
Hostel first year chuo kitakupangia wewe utaenda kwenye notes board utacheki umepangiwa wapi na room no ngapi kama ni mabibo,main cumpos au hostel mpya pale mliman city.
 
Jamani naweza kupata joining instruction form ya udsm collage ya agriculture and fisheries, kama kuna uwezekano naomba mnisaidie waungwana.
Utaingia kwenye website ya chuo utaipata utasoma vitu vya msingi kama gharama za id,direct cost, then siku ya orientation ikifika ndo utaenda wewe mwenyewe kuchukua admission latter chuoni ufanye usajili.
 
Ahsante mkuu,na vipi kuhusu kujisajili kwa mfano hujapata mkopo si lazima uende na ela yao?
 
Hataaa ukipataaa mkopoo kuna kitu kinaitwa direct fee hiyooo lazimaaa ulipe pamoja na bimaa ya afyaa.... Iliii kukamilisha usajili baada ya kumalizaa kujaza fomu utatakiwaaa kwenda na kias cha pesaaa kinacho hitajika kwa ajilii ya adaa
 
Mimi walinitaka niconfirm na nikabonyeza kile kidubwana kilichoandikwa confirm baadae paka badirika pakawa pekundu toka kijani apo si ntakua nimeshamaliza kazi au kunachaziada ili kusibitisha zaidi,
 
Screenshot_20171007-074949.png
 
Hataaa ukipataaa mkopoo kuna kitu kinaitwa direct fee hiyooo lazimaaa ulipe pamoja na bimaa ya afyaa.... Iliii kukamilisha usajili baada ya kumalizaa kujaza fomu utatakiwaaa kwenda na kias cha pesaaa kinacho hitajika kwa ajilii ya adaa
Ok ahsante sana,sory mi baada ya kuconfirm imebadilika status yangu apo si itakua tayari mkuu
Screenshot_20171007-074949.png
.na Mara ya kwanza palikua na pa kijani apo palipo badirika na kuwa pekundu,
IMG-20171005-WA0002.jpg
 
Ahsante mkuu,na vipi kuhusu kujisajili kwa mfano hujapata mkopo si lazima uende na ela yao?
Ndio kama hujapata mkopo kabisa inabidi ujiandae ada mapema unaweza lipia kwa mwaka mzima au kwa kila semester kulingana na uwezo wako pia pesa ya hostel na matumizi yako wewe mwenyewe kama kula, kunywa, usafiri ,materials, nk
 
OK ahsante and unweza nisaidia ilo swali nilouliza apo juu comment no [HASHTAG]#362[/HASHTAG]
 
tayari utakuwa umesha confirm, hapo kwenye red unaona wameandika un.confirm maana yake umesha confirm sasa kama unataka kubadilisha maamuzi ubonyeze wakuondoe kwenye system
 
Pouwa mkuu
 
Hapo kwenye wildlife huyo bado haja confirm
 
Najivunia niligraduate hapo.Walimu wapo vizuri sana.Japo wanabana sana ila ukitoka umeiva.Ujuzi na maarifa sahili.Sikujuta kua hapo.Viva Udsm.Najipanga kurudi Masters 2019 nikipata ruhusa kazini
Big up mkuuu. Ulipiga miaka ipi
 
Back
Top Bottom