bila shaka wewe umesoma taasisi kama ifm au vyuo kama udom[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bila shaka wewe umesoma taasisi kama ifm au vyuo kama udom[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wasipokuja wahusika wanaofahamu haya Mambo, Nakushauri tafuta TCU guide book zina kila Kitu au penda kutembelea websites za Vyuo huwa wanaweka criteria zao katika admissions mbalimbali Mkuu!!waungwana.. hv mtu ambae alisoma PCB na anawish kusoma IT pale kwenye kigezo cha D,ya math's..Je, hiyo D ni lazima iwe ya Advanced math's au hata BAM inaweza kutumika?
Hivi waliochaguliwa kujiunga PhD mwezi October mwaka huu tayari wameshawekwa wazi?
Hivi Udsm kuna Evening Course? Hasa kwenye mambo ya Accounting?
Bado dear, selection za july ndi tayari ila za october nadhani zitatoka september, kama ealivyoeleza kwenye application portal yao
Asante sana. Wakati nina apply kuna sehemu kama niliona inasema b4 July orodha itakuwa imetoka
Before july ni wale wanaoingia intake ya July, kuna intake ya October ambayo results wanatoa september
Sawa mkuu,
Naweza kukucheki pm?
Weka seali lako hapa mkuu. Kama mimi nitashindwa kujibu, wapo wajuzi zaidi yangu watajibu
Poa, linahusu masuala haya haya lakini kwangu nalichukulia kama personal ndio maana nikawaza nikucheki pm
Usijali, nitatafuta means nyingine
Hivi Udsm kuna Evening Course? Hasa kwenye mambo ya Accounting?