University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Sasa mbona hamna mada nyingine za amshaamsha jamani? UDSM ndo tumechoka hivi kweli?

Basi tufahamishane, mwanaharakati Tweve yupo hai? Waliokuwepo udsm miaka ya 2002 - 2007. Sikumbuki yeye alianza na kumaliza lini, namkumbuka tu pale Rev.Square siku za harakati.
 
waungwana.. hv mtu ambae alisoma PCB na anawish kusoma IT pale kwenye kigezo cha D,ya math's..Je, hiyo D ni lazima iwe ya Advanced math's au hata BAM inaweza kutumika?
 
waungwana.. hv mtu ambae alisoma PCB na anawish kusoma IT pale kwenye kigezo cha D,ya math's..Je, hiyo D ni lazima iwe ya Advanced math's au hata BAM inaweza kutumika?
Mkuu wasipokuja wahusika wanaofahamu haya Mambo, Nakushauri tafuta TCU guide book zina kila Kitu au penda kutembelea websites za Vyuo huwa wanaweka criteria zao katika admissions mbalimbali Mkuu!!
 
Hivi waliochaguliwa kujiunga PhD mwezi October mwaka huu tayari wameshawekwa wazi?
 
Bado dear, selection za july ndi tayari ila za october nadhani zitatoka september, kama ealivyoeleza kwenye application portal yao
Hivi waliochaguliwa kujiunga PhD mwezi October mwaka huu tayari wameshawekwa wazi?
 
Asante sana. Wakati nina apply kuna sehemu kama niliona inasema b4 July orodha itakuwa imetoka
Bado dear, selection za july ndi tayari ila za october nadhani zitatoka september, kama ealivyoeleza kwenye application portal yao
 
Before july ni wale wanaoingia intake ya July, kuna intake ya October ambayo results wanatoa september
Asante sana. Wakati nina apply kuna sehemu kama niliona inasema b4 July orodha itakuwa imetoka
 
Poa, linahusu masuala haya haya lakini kwangu nalichukulia kama personal ndio maana nikawaza nikucheki pm

Usijali, nitatafuta means nyingine
Weka seali lako hapa mkuu. Kama mimi nitashindwa kujibu, wapo wajuzi zaidi yangu watajibu
 
Selection tayari mkuu, umeata notification?
Poa, linahusu masuala haya haya lakini kwangu nalichukulia kama personal ndio maana nikawaza nikucheki pm

Usijali, nitatafuta means nyingine
 
Keani unataka kusoma acvounting kwa level gani, kila course ina full time na part time mbayo ni evining classes

Ila for more info ingia kwenye officila website yao, nadani kuna aelezo ya kutosha kuhusu admission pamoja na mode of delivery kwa kila course

All the best
Hivi Udsm kuna Evening Course? Hasa kwenye mambo ya Accounting?
 
Back
Top Bottom