University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mwaka jana udsm kumekuwa na kozi nyingi mpya kama geomatics architecture,quantity survey,agriculture eng,medicine,agrcul and natural resource econmics so kama wewe ni muhenga ndo mambo yalivyo now

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utoto hizi course zote zinajulikana kuwa zinahusiana na nini. Kilichonipa shida ni huo uandishi wenu.... Nurcing ndo inahusika na nini if I may ask?

Ngoja ni subscribe kwenye chamalangu la home 2013-04-03....... hall 5 flow 11
 
Hahaha umenikumbushaaa kitu nyinyi ndio mlikuwa mnajisaidia haja ndogo kwenye Yale matundu ya madirisha???

Nilikuwa floor ya 10 miaka Fulani hivi.
 
Acha utoto hizi course zote zinajulikana kuwa zinahusiana na nini. Kilichonipa shida ni huo uandishi wenu.... Nurcing ndo inahusika na nini if I may ask?

Acha utoto hizi course zote zinajulikana kuwa zinahusiana na nini. Kilichonipa shida ni huo uandishi wenu.... Nurcing ndo inahusika na nini if I may ask?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto wangu uko wapi hapo? acha kujitoa ufahamu ili utafute mijadala isiyo na mbele wala nyuma, kama unajua pita kando wasio jua wapate msaada, wabongo bhana, kwa hiyo ulikuwa unataka nimwambie udsm md,nursing zipo et?

Comment yako pale juu uliandika Nursing au nurcing? Kusema nimepata shida ya kuelewa huo mwandiko wa kitoto wa kuandika nurcing unaanza kunitolea povu pambana na hali yako

Ndo ulichokuwa unataka, kuonekana unajua sana lugha poa, ngoja sisi watoto turudi shuleni, yaani nashindwa kuelewa badala mtu atoe msaada unaanza kuzunguka weee kupoteza tu muda...

Unajua nini dogo....tatizo lako umekurupuka. Mimi nimesema nimepata shida kuelewa yule mwenzio alivyoandika nurcing na ukweli ndo huo wala lengo langu halikuwa kukosoa uandishi nimekuja kuelewa baada ya kusoma comment yako nilivyoona unazungumzia habari za medicine ndo nikaelewa kumbe alimaanisha Nursing. Sasa wewe bila kuniuliza ni nini sikuelewa unaanza kuandika vitu gani sijui...

Poa asee nimekuelewa, ila kama nimekukwaza naomba yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayefaham ni lini huwa admission ya postgraduate hutoka anisaidie maana nakumbuka originally deadline ya kuapply masters ilikuwa may saaa nashangaa mpaka leo kimya anayejua anijuze labda kwa miaka mingine majibu huwa yanatoka lini

Ahsante
 
Binamu yangu, ana uzoefu dar. Anakuja kusoma masters hapo Udsm. Upatikanaji wa hostel za chuo ukoje? Je hostel za private? Pazuri wapi hostel za chuo au private? Pse help wenye uzoefu

Hostel za chuo zipo hawez kukosa mkuu sahivi udsm hostel zimeongezeka sanaa ukilinganisha na miaka mingine maana Kuna hizi alizofungua mkulu nazo ztaanza kutumika
 
Kwa anayefaham ni lini huwa admission ya postgraduate hutoka anisaidie maana nakumbuka originally deadline ya kuapply masters ilikuwa may saaa nashangaa mpaka leo kimya anayejua anijuze labda kwa miaka mingine majibu huwa yanatoka lini
Mkuu admission zilitoka May mbona sema labda hukuona. Ila nachofahamu huwa kunakuwaga na late application kwahiyo subiria hiyo.

Ahsante
 
Back
Top Bottom