Wakuu salaam....
Hiv GPA ya mwisho ambayo huandikwa ktk cheti au transcript ni sawa na average(wastani) wa GPA za miaka yote, ambazo hutolewa mtandaoni kama matokeo ya kila mwaka au semster?
Pia je option course yenye unit sawa na core course inaweza ika ireplace core course wakati wa kucalculate GPA;yani mfano Udsm kwa mtu anaesoma kozi ya miaka 3 anatakiwa kwa mwaka awe na units120 so miaka 3 jumla units360 hapo akawa na core course 10 kwa mwaka kila moja ina units12 jumla 120units ila akawa na option course aliyofaulu zaidi ya core course,core course moja yaweza tolewa ikaingizwa option course?