University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Chuo Kikuu hiki mnalo eneo kubwa sana ambalo mkipanda miti itasaidia kuweka mazingira vizuri kama UDSM walivonogesha chuo chao na uoto. Pia uoto wa miti kukizunguka UDOM utakuwa mapafu ya jiji la Dodoma ukizingatia nyie mpo juu ya jiji.

Mazingira ni Uhai
20211009_170838.jpg
 
wakipanda kipindi cha mvua then wakaimwagilia inatoboa mkuu Dubai wameweza na kuna michanga sembuse hapo udongo mzuri kabisa
Dubai wenye uwezo wa kuweka order ya dreamliner 200 na ili wasiwe na generation moja wanaweka order nyingime ya Airbus A380 double-deck 250 jumla ndege 450 brand new kwa mkupuo unafananisha na bongo Mkuu? Nahisi umetania anyway.
 
Hizo ndege zinatumika kwenye umwagiliaji au hapo wakipewa kazi vijana wa jkt wakatengewa kama bilioni 2 panakua kijani fasta
 
Wanasubiri misaada kutoka kwa zile taasisi za mazingira zinazopiga hela na kupanda miti mwisho miti haina usimamizi.

Waziri wa wa serikali, chuo cha serikali wanaweza ila mpaka kuwepo na deal of 10per!.
 
Back
Top Bottom