University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

Ukiingia Dom rangi yake utadhani uko kwenye movie ya Extraction 😁😁kuna uorange flani hivi wenye vumbi angani😂
Huwa kuna miradi ya uhamasishaji kupanda na kutunza miti Dodoma. Huwa wanafanya kazi gani hasa??
 
Mbaya zaidi wanatoa na kozi ya mazingira..si wangeiondoa tu..hata wanafunzi wa mazingira nao ni boguz tu wameshindwa kuanzisha hata initiatives tu za upandaji wa miti..afrika tulilaaniwa..ndio mana udom ni chuo cha vilaza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwa kuna miradi ya uhamasishaji kupanda na kutunza miti Dodoma. Huwa wanafanya kazi gani hasa??
Labda huwa wanafanya kampeni zenye siasa tu pasipo matokeo...pangekuwa na matokeo jiji lote lile lingekuwa na uoto, angalau kwa kuanzia miti ingetanda kila eneo la barabara na Halmashauri kupitisha by-law lazima kila nyumba iwe na angalau miti miwili
 
Back
Top Bottom